Kwa mara ya kwanza nimepokea hela kutoka YouTube/Adsense

Kazi ya YouTube ni ngumu sana, uwe na subscribers zaidi ya elfu. Uwe na viewers wa uhakika, tena sio wale wanao view na kuondoka, wanatakiwa walioangalia kideo nzima na matangazo yake full. Na iwe imeangaliwa kwa masaa si chini ya elfu 4 kwa mwaka. Na viewers wanaothaminika zaidi sana ni Marekani na ulaya ili tangazo la biashara likipita awe mteja wa karibu na bidhaa hiyo.......
 
Nashukuru kwa elimu. Naomba mwongozo namna ya kufungua YouTube account. Nina kitu fulani kitawavutia wengi kutazama
 
Nashukuru kwa elimu. Naomba mwongozo namna ya kufungua YouTube account. Nina kitu fulani kitawavutia wengi kutazama
Kama una gmail account you are done. Hamna kitu kigumu!

Swali unalotakiwa ujiulize, JE NI KWANINI UNAAMINI HICHO KITU KITAVUTIA WENGI?
 
Hivi kati ya you Tube Channel na blog ipi inalipa zaidi kwa hapa Bongo?
 
I had a YouTube channel ilikuwa Inaenda fresh kabisa maana stage za awali nilishavuka ilibaki monetization tu ila mambo yakawa mengi nikaitelekeza

Ilikuwa ni mwaka 2017 kama ningeendelea hadi leo ningekua mbali
 
"Ninge"
 
Ila kwa blog nje nchi za nje unaweza kutoboa in case kiingereza kikitumika?

Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app
Kweli ila si unajua bongo creativity kwenye post za kingereza na kushindana na watu wa nje kwetu wengi ni mtihani niliona video Moja YouTube ya mbongo alikuwa anaelezea miji mbali mbali ila kwa kingereza iyo video ilikuwa imetazamwa na watu 17k ila ilingiza USD 400+ iyo hakupungua DK 10 watu walioangalia USA na watu ulaya
 
Ila kwa blog nje nchi za nje unaweza kutoboa in case kiingereza kikitumika?

Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app
Yes lakini sio kiingereza tu. Kuna kitu kinaitwa SEO lazima ukijue.

Ningekua na nafasi ya kukushauri ningekwambia udeal na vyote. Youtube na blog kwa pamoja. Youtube inakua inakuletea audience wa blog.
 
Nafanyaje kuwa na akaunti ya monetized youtube.?
 
Nafanyaje kuwa na akaunti ya monetized youtube.?
1. Uwe na watch hour 4000 ndani ya mwaka mmoja.

2. Uwe na atleast subscribers 1000.

3. Uwe na original content

4. Usiwe na strike yoyote hasa kwa kuiba content za wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…