Kwa mara ya kwanza nimeshuhudia mbuzi anachinjwa huku amezibwa mdomo Usseri Rombo!

Kwa mara ya kwanza nimeshuhudia mbuzi anachinjwa huku amezibwa mdomo Usseri Rombo!

Duu!! Aisee!! Sasa nimeshajuwa mbinu walizotumia wezi kuniibia Mbuzi wangu..

nilijiuliza sana iweje Mbuzi 6 wachinjwe ndani kwangu nisisikie hata kelele?

Duu!! Kumbe ndy style hiyo?

Aisee!!!
😂😁😁😂😂😂😂 nimecheka sana kam mazuri vile.

Ila polee boss
 
Huruma sana. Ni ukatili.
Ndio maana wanaoruhusiwa kisheria kuchinja ni Waislamu pekee
 
Back
Top Bottom