miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,411
- 11,025
[emoji23][emoji23][emoji23]Huyu Mwanamke wa Dar kaka poa wa Kinondoni nani kampeleka Rombo . Wachaga tusikaribishe machasaka yatuletee laana kwenye nchi yetu takatifu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]Huyu Mwanamke wa Dar kaka poa wa Kinondoni nani kampeleka Rombo . Wachaga tusikaribishe machasaka yatuletee laana kwenye nchi yetu takatifu.
Mbee.. umeelezea kila kitu vizuri kabisa. Umemaliza.1. HAKUNA NG'OMBE ANACHINJWA KWA MILA, MNYAMA WA MILA NI MBUZI TU, ILA KUNA WAKATI KONDOO NAE HUWA ANAHITAJIKA KUTEGEMEA NA AINA YA MILA.
2. MBUZI HULAZWA CHINI ANASHIKWA MIGUU NA WATU KILA UPANDE MTU MMOJA MKAKAMAVU (ANAYEJUA MILA KWELIKWELI) HUMZIBA MDOMO KWA NGUVU ASITOE PUMZI WALA SAUTI MPAKA ANAKATA ROHO. BAADA YA KUKATA ROHO NDIO HUKATWA KOROMEO.IKATOKEA AKATOA PUMZI AU SAUTI MILA IMEHARIBIKA INABIDI MHUSIKA AKALETE MBUZI MWINGINE.
3. BAADA YA KUCHINJA VIUNGO VYA NDANI (MAINI, MAPAFU, UTUMBO) HUSOMWA KUANGALIA KAMA KWENYE UKOO KUNA SHIDA YOYOTE, KUNA MAENEO YAKIONEKANA HYAKO SAWA WAHUSIKA HUITWA NA KUONYWA.
4. BAADA YA KUCHINJWA DAMU MBICHI HUCHANGAYWA NA SUPU YA MOTO NA KUNYWEWA NA WANAUME(WANAWAKE HAWARUHUSIWI KATIKA MATUKIO YOTE HAYA WAO HUKAA JIKONI WAKISUBIRI MGAO WAO NAO WAPIKE/WALE)
5. MILA NYINGI NI ZA KUOMBA BARAKA KWA WAZEE WALIOTANGULIA, KWA HIYO FINYANGO HUKATWA KWENYE KILA KIUNGO NA KUWEKWA KWENYE JANI BICHI LA MGOMBA (IDADI YA MAJANI HUTEGEMEA NA WATU GANI WANAOMBWA KUNA WA MABABU, MABIBI, MASHANGAZI etc) BAADAE HUPELEKWA SHAMBANI CHINI YA MGOMBA/MKAHAWA NA KUACHWA HAPO WAZI. KESHO YAKE ASUBUHI MNAANDAMANA KWENDA KUANGALIA KAMA ZILE FINYANGO ZIPO AU ZIMEONDOKA, KAMA ZIPO MILA IMEKATALIWA NA ITABIDI MRUDIE KAMA HAZIPO WAZEE WALIZICHUKUA.
6. HAPA NDIO UTAONA MAAJABU NA KAMA HUAMINI HIZI MILA ITABIDI UKIFIKIRIE MARA MBILI MBILI, KUNA WAKATI MNAKUTA FINYANGO ZOOTE KWENYE KILA JANI ZIPO KAMA MLIVYOZIWEKA JANA JIONI NA KULIKUWA KUNA MBWA WENGI TU WANAZENGEA WAKATI MNACHINJA NA MNAPOENDA KUWEKA CHINI YA MKAHAWA NI KARIBU TU NA HAPO KWENYE MBWA WENYE UCHU WA NYAMA. KWA NINI HAWAKULA PALE??
Hukuwa na njaa wewe.....alie ili iweje. Wenzetu wenye machinjio ya kisasa, wanyama wanapigwa shot na kurizai kabla hawajachinjwa. Lengo ni kumchi ja akiwa unconscious. Huyo nae hutamla kisa amepigwa short?Nimeshuhudia jana mbuzi anachinjwa huku amezibwa mdomo ili asilie.
Kwa ushinjaji huu hamu ya nyama ya mbuzi imeniishia kabisa bora kesho nirudi Dar.
Happy New Year!
Anabanwa mdomo halafu anatobolewa shingoni na kitu chenye ncha kali!Hukuwa na njaa wewe.....alie ili iweje. Wenzetu wenye machinjio ya kisasa, wanyama wanapigwa shot na kurizai kabla hawajachinjwa. Lengo ni kumchi ja akiwa unconscious. Huyo nae hutamla kisa amepigwa short?
Mal croyance🤔Mkuu iyo ni moja ya mila na ina maana yake, anazibwa mdomo alaf anachomwa kisu kufuani hadi kinagusa moyo, siwezi kuelezea zaidi maana wahusuka wanalifahamu hilo.
Kula tu, bwashee, mbona una kula samaki alikufa, hujashangaa alikufa lini na saa ngapi? ukimchunguza sana bata hutoweza kumlaNimeshuhudia jana mbuzi anachinjwa huku amezibwa mdomo ili asilie.
Kwa ushinjaji huu hamu ya nyama ya mbuzi imeniishia kabisa bora kesho nirudi Dar.
Happy New Year!
Wachaga wanadanganyana eti nyama itakua laini na tamu[emoji1787][emoji1787]hii nayo kumbe ina maana yake!?...
naombeni elimu kidogo kuhusu hili...
Mchinja nguruwe katika ubora wako.Sikuwahi kuona sababu ya kumuanganiza nguruwe kwa namna ile lakini watekelezaji wakawa wabishi kutetea wakidai haiwezekani kumuanganiza kwa namna zaidi ya ile sababu ya vurugu na kelele.
Hiyo ilikua ni mwaka 1998 mkoani Mbeya, ili kukata ubishi wao nikawaambie twende wanapochinja kiti moto.
Tulipofika nikawaomba wanitafutie kijiti kigumu na kinene. Kilipoletwa nikakamata nguruwe shingoni nikaminya mdomo kichwa kilipotanuka nikaingiza kijiti ili aking'ate na meno (magego), alipoking'ata tu hakukua na kelele nikachukua kisu kikali nikakitelezesha shingoni, ilikua gumzo kwa kitendo cha kuchinja nguruwe kwa kisu tena nikiwa mwenyewe huku wao wakishuhudia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hicho ndio kilichokupeleka huko?
[emoji16][emoji16][emoji16]Ukishakuwa CCM ni hatari Sana. Mbona chadema wanaelewa kila kitu kuusu mbuzi kuchinjwa hivyoo.
Mi [emoji110] Tena.
Bwashee unawaandama sana wachagaNimeshuhudia jana mbuzi anachinjwa huku amezibwa mdomo ili asilie.
Kwa ushinjaji huu hamu ya nyama ya mbuzi imeniishia kabisa bora kesho nirudi Dar.
Happy New Year!
Huko sio kuchinja bwasheeMkuu iyo ni moja ya mila na ina maana yake, anazibwa mdomo alaf anachomwa kisu kufuani hadi kinagusa moyo, siwezi kuelezea zaidi maana wahusuka wanalifahamu hilo.
Na hata hayupo huko huyu kaokota okita hata story tu. Na kama ni kweli ameenda basi katafuta mualiko kwanguvu sana[emoji23]Bwashee unawaandama sana wachaga
Kulingana na Mila za kichaga Wanawake hawaruhusiwi kufika sehemu ya kuchinjia..Aisee nami huchinja kwa style hiyo japo uwa sipendi watoto wangu wa kike waone,mara zote wanangu wawili wa kiume uwa nahakikisha wanashiriki zoezi nami mpk mwisho,
Halafu sipendi Maalimu kunichinjia km hataki Kula ni kivyake
Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
Hapo kwenye kumziba pumzi hadi afe sio kweli mkuu labda wachaga wapo tofauti ila Marangu tukishamziba mdomo kuna visu vyetu venye ncha mbili kali tunatoboa kifuani tunalenga Moyo.1. HAKUNA NG'OMBE ANACHINJWA KWA MILA, MNYAMA WA MILA NI MBUZI TU, ILA KUNA WAKATI KONDOO NAE HUWA ANAHITAJIKA KUTEGEMEA NA AINA YA MILA.
2. MBUZI HULAZWA CHINI ANASHIKWA MIGUU NA WATU KILA UPANDE MTU MMOJA MKAKAMAVU (ANAYEJUA MILA KWELIKWELI) HUMZIBA MDOMO KWA NGUVU ASITOE PUMZI WALA SAUTI MPAKA ANAKATA ROHO. BAADA YA KUKATA ROHO NDIO HUKATWA KOROMEO.IKATOKEA AKATOA PUMZI AU SAUTI MILA IMEHARIBIKA INABIDI MHUSIKA AKALETE MBUZI MWINGINE.
3. BAADA YA KUCHINJA VIUNGO VYA NDANI (MAINI, MAPAFU, UTUMBO) HUSOMWA KUANGALIA KAMA KWENYE UKOO KUNA SHIDA YOYOTE, KUNA MAENEO YAKIONEKANA HYAKO SAWA WAHUSIKA HUITWA NA KUONYWA.
4. BAADA YA KUCHINJWA DAMU MBICHI HUCHANGAYWA NA SUPU YA MOTO NA KUNYWEWA NA WANAUME(WANAWAKE HAWARUHUSIWI KATIKA MATUKIO YOTE HAYA WAO HUKAA JIKONI WAKISUBIRI MGAO WAO NAO WAPIKE/WALE)
5. MILA NYINGI NI ZA KUOMBA BARAKA KWA WAZEE WALIOTANGULIA, KWA HIYO FINYANGO HUKATWA KWENYE KILA KIUNGO NA KUWEKWA KWENYE JANI BICHI LA MGOMBA (IDADI YA MAJANI HUTEGEMEA NA WATU GANI WANAOMBWA KUNA WA MABABU, MABIBI, MASHANGAZI etc) BAADAE HUPELEKWA SHAMBANI CHINI YA MGOMBA/MKAHAWA NA KUACHWA HAPO WAZI. KESHO YAKE ASUBUHI MNAANDAMANA KWENDA KUANGALIA KAMA ZILE FINYANGO ZIPO AU ZIMEONDOKA, KAMA ZIPO MILA IMEKATALIWA NA ITABIDI MRUDIE KAMA HAZIPO WAZEE WALIZICHUKUA.
6. HAPA NDIO UTAONA MAAJABU NA KAMA HUAMINI HIZI MILA ITABIDI UKIFIKIRIE MARA MBILI MBILI, KUNA WAKATI MNAKUTA FINYANGO ZOOTE KWENYE KILA JANI ZIPO KAMA MLIVYOZIWEKA JANA JIONI NA KULIKUWA KUNA MBWA WENGI TU WANAZENGEA WAKATI MNACHINJA NA MNAPOENDA KUWEKA CHINI YA MKAHAWA NI KARIBU TU NA HAPO KWENYE MBWA WENYE UCHU WA NYAMA. KWA NINI HAWAKULA PALE??
[emoji23][emoji23][emoji23]Mara paap kakwepa [emoji16] hapo lazma udandie kenchi za bandani
Huo Ni Ushirikina Tu. Kumbe Wanachoma Kisu, Hawachinji. Wafanyao Hayo Wana Deni Kubwa La Kulipa Nafsi Za Viumbe HivyoMkuu iyo ni moja ya mila na ina maana yake, anazibwa mdomo alaf anachomwa kisu kufuani hadi kinagusa moyo, siwezi kuelezea zaidi maana wahusuka wanalifahamu hilo.