johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #21
Hata mimi nasubiri kuelimishwa!hii nayo kumbe ina maana yake!?...
naombeni elimu kidogo kuhusu hili...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mimi nasubiri kuelimishwa!hii nayo kumbe ina maana yake!?...
naombeni elimu kidogo kuhusu hili...
KITIMOTO anachinjwa kikatili sana.Je ungeshuhudia anavyo tolewa roho KITIMOTO, si ndio ungekuwa VEGETERIAN kabisa.
Kwa kifupi hachinjwi, anapigwa bonge moja la rungu kwenye kichwa.
Sikuwahi kuona sababu ya kumuanganiza nguruwe kwa namna ile lakini watekelezaji wakawa wabishi kutetea wakidai haiwezekani kumuanganiza kwa namna zaidi ya ile sababu ya vurugu na kelele.Je ungeshuhudia anavyo tolewa roho KITIMOTO, si ndio ungekuwa VEGETERIAN kabisa.
Kwa kifupi hachinjwi, anapigwa bonge moja la rungu kwenye kichwa. Haombi hata maji. Sasa umkosee kumpiga panapotakiwa kupigwa, yaani umjeruhi asife. Huo mtafaruku wake si wa kispoti spoti.
Nitakuloga na wewe uje uandike vizuri hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Warombo ni washirikina sana,kinachowasaidia wanajua kulinda brand yao kwakutoyaweka wazi mambo yao yakishirikinashirikina.
Wewe ulitaka wachinje vipi? Wamchinje huku akiwa huru hajashikwa popote?Uchinjaji wa kikatili kabisa!
Nabahatisha tu Mkuu.... Sina hakika kwa kweli!Una uhakika ni mwanaume au unabahatisha
Ule siyo uchinjaji bali ni unyama sawa tu na mila ya ukeketaji bila ganzi!Mkuu iyo ni moja ya mila na ina maana yake, anazibwa mdomo alaf anachomwa kisu kufuani hadi kinagusa moyo, siwezi kuelezea zaidi maana wahusuka wanalifahamu hilo.
Siku hizi tunachinja ka kuku tuJe ungeshuhudia anavyo tolewa roho KITIMOTO, si ndio ungekuwa VEGETERIAN kabisa.
Kwa kifupi hachinjwi, anapigwa bonge moja la rungu kwenye kichwa. Haombi hata maji. Sasa umkosee kumpiga panapotakiwa kupigwa, yaani umjeruhi asife. Huo mtafaruku wake si wa kispoti spoti.
Maendeleo hayana chamaNimeshuhudia jana mbuzi anachinjwa huku amezibwa mdomo ili asilie.
Kwa ushinjaji huu hamu ya nyama ya mbuzi imeniishia kabisa bora kesho nirudi Dar.
Happy New Year!
Kuna uhusiano wowote wa kishirikina na tendo hilo la kumziba mdomo wakati wa kumchinja?Nimeshuhudia jana mbuzi anachinjwa huku amezibwa mdomo ili asilie.
Kwa ushinjaji huu hamu ya nyama ya mbuzi imeniishia kabisa bora kesho nirudi Dar.
Happy New Year!
lliedie ya kweli haya..🤣🤣Je ungeshuhudia anavyo tolewa roho KITIMOTO, si ndio ungekuwa VEGETERIAN kabisa.
Kwa kifupi hachinjwi, anapigwa bonge moja la rungu kwenye kichwa. Haombi hata maji. Sasa umkosee kumpiga panapotakiwa kupigwa, yaani umjeruhi asife. Huo mtafaruku wake si wa kispoti spoti.
Duu!! Aisee!! Sasa nimeshajuwa mbinu walizotumia wezi kuniibia Mbuzi wangu..Nimeshuhudia jana mbuzi anachinjwa huku amezibwa mdomo ili asilie.
Kwa ushinjaji huu hamu ya nyama ya mbuzi imeniishia kabisa bora kesho nirudi Dar.
Happy New Year!
Mara paap kakwepa 😁 hapo lazma udandie kenchi za bandaniYule ukimkosa ndiyo utajua hujui
Kuna wadau wamesema hiyo ina maana yake kimila...Ule siyo uchinjaji bali ni unyama sawa tu na mila ya ukeketaji bila ganzi!