Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Mimi ni mchaga original na dini yangu ni Catholic ila wanyama wangu watakuwa wanachinjwa na waislam.Watakuwa wanachinjwa na waislam siyo kwa sababu za kidini bali kwa sababu waislam huwa wanajua kuchinja vizuri.Kuna wadau wamesema hiyo ina maana yake kimila...
USHIRIKINA!
Ukweli ni kwamba Wachagga wanafunga mwaka kwa MATAMBIKO!
Hii habari ya kurudi eti kusherehekea Christmas nyumbani ni Camouflage tu sababu ushirikina ni sifa mbaya!