Four
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 244
- 176
Kama mada isemavyo hapo juu, ni kama mwenzi mmoja sasa tangu nikutane na mwana unajimu kutoka Ufaransa nilikuwa nasoma utabiri wa maisha yangu kama 90% kwa njia ya barua pepe nimejifunza mambo mengi ya kiroho ambayo yanahusu 90% ya maisha yangu hadi pale niliposhawishika kununua .
e-book, nilikuwa sijui hata jinsi ya kulipa pesa online,nimejifunza kupitia Google kila kitu,hadi nikafugua na kadi ya malipo ndipo jana nililipa kupitia account yangu kama dollar 30.bank walinitumia ujumbe kwamba nimefanikishwa kutuma kias kile kuna nambasiri ambazo walinitumia nizitumie ndani ya dakika tano ili nikamilishe malipo kwa sababu ya ugeni wangu sikuweza kuzitumia muda uliiisha.
Kwa sasa nipo njia panda sijui kama hela ilienda au bado ipo kwenye kadi maana niliyekuwa namtumia hajanijibu chochote kama amepokea pesa au laa.
Nahitaji msaada hapa
Kuna picha hapa chini