Duh!! Wewe ni private candidate!?Kwa Mara ya kwanza katika miaka yote ya utungaji wa mtihani wa geographia 1 kidato Cha sita 2022 swali la topographical map interpretation halikuwa la lazima badala yake swali la surveying and map making ndio lilikuwa lazma na kubeba ujumla wa alama 25 hii imeshutusha Sana watahaniwa wakati wanapofanya mtihani kwani watahiniwa wengi huwa mada ya surveying inawasumbua Sana
🤣🤣🤣Duh!! Wewe ni private candidate!?
Nnawapongeza sana NECTA kwa kufanya hivyo.Kwa Mara ya kwanza katika miaka yote ya utungaji wa mtihani wa geographia 1 kidato Cha sita 2022 swali la topographical map interpretation halikuwa la lazima badala yake swali la surveying and map making ndio lilikuwa lazma na kubeba ujumla wa alama 25 hii imeshutusha Sana watahaniwa wakati wanapofanya mtihani kwani watahiniwa wengi huwa mada ya surveying inawasumbua Sana
Kweli mkuu yani mm pia ni mmoja wao yani wanafunzi tulishazoea compulsory question kwenye geography 1 linatoka kwenye topic ya map yani, kwel saiv ni competence basis tunashukuru ilo la lazima halikuwa complicated sanaKwa Mara ya kwanza katika miaka yote ya utungaji wa mtihani wa geographia 1 kidato Cha sita 2022 swali la topographical map interpretation halikuwa la lazima badala yake swali la surveying and map making ndio lilikuwa lazma na kubeba ujumla wa alama 25 hii imeshutusha Sana watahaniwa wakati wanapofanya mtihani kwani watahiniwa wengi huwa mada ya surveying inawasumbua Sana
Kabisa mkuu hongera kwa kumaliza mitihani yako salama kila la heri na matokeo mazuriKweli mkuu yani mm pia ni mmoja wao yani wanafunzi tulishazoea compulsory question kwenye geography 1 linatoka kwenye topic ya map yani, kwel saiv ni competence basis tunashukuru ilo la lazima halikuwa complicated sana
🤣🤣Kwa Mara ya kwanza katika miaka yote ya utungaji wa mtihani wa geographia 1 kidato Cha sita 2022 swali la topographical map interpretation halikuwa la lazima badala yake swali la surveying and map making ndio lilikuwa lazma na kubeba ujumla wa alama 25 hii imeshutusha Sana watahaniwa wakati wanapofanya mtihani kwani watahiniwa wengi huwa mada ya surveying inawasumbua Sana