Gift mzalendo
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 1,856
- 2,417
Katibu wa UN Kama kiongozi wa umoja wa mataifa yote alipaswa akemea hadharani uvamizi wa Iran nchini Israel. Ila naamini Israel wanaweka rekodi sawa ili siku akivamia Iran katibu wa UN usiingize mdomo
Pia Israel inaendelea kutengeneza ushahidi wa kuonyesha anavyochokozwa na mataifa mengine na Katibu wa UN anatulia
Hili liliwahi kutolea kipindi Tanzania inapigana na Amini Nyerere aliwaomba mataifa mengine ya Au kulaani tu wakakataa
Ilipofika zamu ya Amini kuchapwa Barabara wakaanza unafiki wao. Ndo ule msemo Kama ni halalali kupigania Ardhi ya Tanzania Basi ni halali kupigania Uganda pia.
Soma Pia: Kwa mara ya Kwanza UN yawalaani Hamas - Katibu mkuu aongea kwa masikitiko unafiki umemshinda Dunia imejifunza kuwa utekaji sio tabia ya kibinadamu