Kwa mara ya kwanza tuna Waziri Mkuu chawa na serikali

Kwa mara ya kwanza tuna Waziri Mkuu chawa na serikali

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Kwa mara ya kwanza tuna waziri mkuu Chawa na serikali fake! Mwigulu ndiye waziri mkuu ambaye kazi yake kubwa sio uendeshaji bali ni uchawa uongo uongo na kujipendekeza.

Majaliwa alijitahidi sana kuwa kiongozi ambaye anajiepusha na utekaji, uongo, lakini alishidwa naye lakini hakuwa chawa!

1764086954100.png
 
Waziri mkuu!!! kuna waziri mkuu tangu kumbe wenzetu mmeshapata waziri mkuuu mm sitambui hata km tuna waziri ama mbunge na hata raic
 
Huo kibaka sio PM material kabisa, huyu mhuni walikutana uchochoroni na bibi ushungi akazawadiwa hio nafasi...

Kwa press zake hizi amethibitisha wazi hiyo nafasi alizawadia na hapo alipo anapambana kuilinda kwa kuongoea upuuzi kwenye press zake zote...
 
Back
Top Bottom