Kwa mara ya kwanza ukrane imerusha makombora ndani ya urusi

Kwa mara ya kwanza ukrane imerusha makombora ndani ya urusi

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
10,904
Reaction score
26,184
Waziri wa ulinzi wa urusi amesema kiwa leo ukrane imerusha makombora ndani ya ardhi yake kufuatia kupewa idhini na USA

USSR
Screenshot_20241119-202653.jpg
 
Trump hajakabidhiwa mikoba, nadhani Joe ndo anaaga kwa style hiyo
 
Putin alikuwa akiongea hapo Kremlin machozi yakimlenga muda mfupi uliopita huku akiilaumu marekani kwa kutoithamini urusi.., jamaa hajui hata ashike lipi na aache lipi kwa Sasa 😍🤩😍🤩
 
Putin alikuwa akiongea hapo Kremlin machozi yakimlenga muda mfupi uliopita huku akiilaumu marekani kwa kutoithamini urusi.., jamaa hajui hata ashike lipi na aache lipi kwa Sasa [emoji7][emoji2956][emoji7][emoji2956]
Haya tumekuelewa, nikuulize hivi hivi Marekani analipi la kushangaza mbalo Russia hana, kama ni makobora ndiye babalao kama ni knuclear ndiye babalao. US kawekeza kuhudumia makambi na kufadhili vita Russia yeye ni kujenga makombora na silaha tu. Ndiyo kisa tangu aanze SOP leo mwaka watatu makombora anayamwaga Ukraine kama siafu.
 
Una akili sawasawa?....nani alikwambia usa hawekezi kwenye makombora,nani alikwambia usa hana silaha mpya....ulishawahi ona gwalide LA silaha la usa?....usa hana hizo shobo za kuonyesha sijui ana Nini sijui Nini....mizigo Iko mingi ndio maana Putin mwenyewe anajua kifuatacho ndio maana mpaka Leo Putin anaishia kutishia TU sijui atapiga Nuke apige aone 🤣🤣
 
Haya tumekuelewa, nikuulize hivi hivi Marekani analipi la kushangaza mbalo Russia hana, kama ni makobora ndiye babalao kama ni knuclear ndiye babalao. US kawekeza kuhudumia makambi na kufadhili vita Russia yeye ni kujenga makombora na silaha tu. Ndiyo kisa tangu aanze SOP leo mwaka watatu makombora anayamwaga Ukraine kama siafu.
Uturuki anafaa kuwa superpower akiwa nyuma ya USA

View: https://x.com/clashreport/status/1858924600731857099?t=GBuPhDpkUmkLGxYm6YPGbA&s=19
 
Lengo kuu ambalo limepelekea NATO kuiruhusu Ukraine kutumia long range missile ni ili kuruhusu mlango wa maridhiano kati ya mataifa haya mawili, maana Urusi ni super power kijeshi na misuli yake kijeshi ni mikubwa sasa sababu anapigana na bwana mdogo Ukraine ambaye ana restriction za kutosha za kutumia baadhi ya silaha kutoka NATO yeye kazi yake ni kubonda tu sasa labda katika hili labda na yeye atakuwa akisikia maumivu yatakayo pelekea wakae mezani .
 
Safi sana Ukraine 🇺🇦 imeonewa sana na huyo Dubu Mzee.👏👏
Marekani imechelewa sana kuruhusu hilo.

Uliona wapi, mnapigana, mmoja anampiga mwenzake popote mwilini, mmoja anaambiwa haruhusiwi kupiga kichwani kwa adui yake.

Kama wananchi wa Ukraine wanauawa kutokana na ukichaa wa Putin, basi na warusi wafe ili nao waone ubaya wa kufiwa na wanafamilia wao.
 
Haya tumekuelewa, nikuulize hivi hivi Marekani analipi la kushangaza mbalo Russia hana, kama ni makobora ndiye babalao kama ni knuclear ndiye babalao. US kawekeza kuhudumia makambi na kufadhili vita Russia yeye ni kujenga makombora na silaha tu. Ndiyo kisa tangu aanze SOP leo mwaka watatu makombora anayamwaga Ukraine kama siafu.
Unaishi kwenye Ulimwengu wa giza.

Fikiria Urusi imefikia kuagiza makombora na drones toka Iran na North Korea. Kama ingekuwa nayo mengi kwa kiasi unachosema, kulikuwa na haja gani kutafuta silaha toka mataifa mengine, tena yenye silaha inferior?
 
Back
Top Bottom