Kwa mara ya kwanza ulipopata taarifa ya kifo cha J.k Nyerere ulijisikiaje?

Kwa mara ya kwanza ulipopata taarifa ya kifo cha J.k Nyerere ulijisikiaje?

Muulize pia farst jet alijisikiaje? Alafu waambie watawala wa kipindi hicho watueleze ukweli. Nyerere alienda kuchunguzwa afya au alienda kutibiwa?

Sina cha kuongezea ila ilo swali ndilo nililotaka kuuliza je alienda kutibiwa au kufanya checkup?
 
Nakumbuka cku hiyo nilikuwa darasa la pili, nilihuzunika sana, afu siku hiyo mvua ilikuwa inanyesha so nilishindwa kwenda shule,
cku ya mazishi ndio usiseme hiyo huzuni,
kuna ndege ilipita angani cku hiyo, dingi akanidanganya ndio yenye mwili wa marehemu, hapo hofu ndio ikanizid!!!
Then shulen c tukaambiwa tutoe rambirambi, nikalia sana home niliponyimwa, had mjomba akanipa sh 20 ndio nikaridhika, nikaenda kuitoa!!!!
R.i.p mzee!!!!!
 
kumbe mdogo wangu mie nlkuwa darsa la 4; nakumbuka nilitumwa ofisini kuchukua chaki ndipo nikakuta walimu wanamsikiliza mkapa akitangaza kifo hicho
 
Mi nilikuwa simjui Nyerere nilimsikia baada ya kwenda shule wakasema kuwa Baba wa Taifa kafa turudi nyumbani

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Nakumbuka cku hiyo nilikuwa darasa la pili, nilihuzunika sana, afu siku hiyo mvua ilikuwa inanyesha so nilishindwa kwenda shule,
cku ya mazishi ndio usiseme hiyo huzuni,
kuna ndege ilipita angani cku hiyo, dingi akanidanganya ndio yenye mwili wa marehemu, hapo hofu ndio ikanizid!!!
Then shulen c tukaambiwa tutoe rambirambi, nikalia sana home niliponyimwa, had mjomba akanipa sh 20 ndio nikaridhika, nikaenda kuitoa!!!!
R.i.p mzee!!!!!
Mh! Hicho kijiji unachoishi,sikipati picha.
 
Nilikua natoa tuision kwa mjukuu wa Nyerere. Mkapa alipoanza kuhutubia tu yule mjukuu akatupa madaftari na kuondoka bila hata kuaga huku akipiga kelele akielekea kwao.
 
Nakumbuka alikuja Zanzibar 1995 kipindi hiko nikiwa na miaka 5 nilimshika mkono ilikuwa airport wakati nikienda Oman nilikuwa na mama na dada yng...bt nikakaa miaka Oman hd 99 ndipo niliposikia amekufa nililia cnaaa cz aliniambia soma mwarabu mweusi......uje kuitetea Zanzibar na hd leo hii Mama yng ndio anakuwa ananiambia usia huo huo....
 
siku hiyo ndio mara yangu ya kwanza katika maisha yangu kusimama kwa mda mlefu katika uwanja wa ndege wa musoma
 
Nilikua nafanya kazi Group 4 security ktk IT Department, Boss wetu ( wenye asili ya kiasia)akitununulia soda woote na akatupa off mpaka kesho, baadae tukaja gundua babu yake boss wetu ni mmoja kati ya watu waliotaifishwa magorofa yao na JKN, Aiseeee!!!
 
Nilikuwa form two. Ukweli nilifurahi nilijua shule hatutakwenda.
 
kumbe mdogo wangu mie nlkuwa darsa la 4; nakumbuka nilitumwa ofisini kuchukua chaki ndipo nikakuta walimu wanamsikiliza mkapa akitangaza kifo hicho

nilipata hofu kuu nilifikiri ni nani mwenye uwezo wa kuongea na watanzania na kuwashawishi ni nani tena anayeweza kuwakemea viongozi wapotofu wa maadili, nilifikiri sana na kuona pengine Tanzania ama utanzania bila Nyerere utakuwa pengine siyo ule utanzania tuliokuwa tumeuzowea na hata nikagikiri ya kwamba pengine tutakuwa na jina tofauti na Tanzania . mwisho niliifananisha Tanzania na familia ambayo baba ambaye alikuwa jasiri na shupavu aliyesimamia familia yake kwa umakuni na ktk misingi ya ubora na kuheshimika amefariki na akawaacha watoto yatima ambao hawajiwezi kimaisha pengine ni wadogo kupambana na changamoto za maisha pamoja na kukabiliana na maadui wakiwepo pia majirani ambao nia Yao si nzuri katika familia husika hivyo familia iliyokuwa bora sana imepoteza ubora wake kwani baba alikuwa jasiri na asiyeogopa.hivyo ndivyo nilivyokuwa nimefikiri kwa wakati ule.
 
Nilisikitika sana kwani niliona jembe la afrika limetutoka
 
Nilihuzunika xana kwani nilikuwa shuleni kijijini BUTIAMA ambapo ndipo alipozaliwa baba wa taifa na baada ya muda mfupi wanafunzi wote tuliruhusiwa kurudi nyumbani kwa ajili ya maombolezo
 
Sikuamini kabisa kwa sababu Mwalimu alikuwa na afya nzuri sana, hivyo hata alipolazwa UK nilikuwa na mategemeo makubwa kwamba angepona na kurudi nyumbani salama salmini. Nilisikitika sana na kuwa na majonzi makubwa sana.

Ulikua unafanyaje?
 
Mi nakumbuka zile siku 30 za maombolezo!!! Hakuna tv wala radio ya tz ilikuwa inafanya kitu kingine zaidi ya maombolezo. Kwa muda ule nilichoka ila kwa sasa naelewa kulikuwa na umuhimu wa kuomboleza kivile
 
Back
Top Bottom