Kwa mara ya kwanza Youtube kumetulia, nashauri wasanii kutumia fursa ya huu utulivu ambao hautadumu

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Katika wiki hii naweza kusema ndio kipindi kilichopata utulivu mno kweye game la muziki tangu mwaka uanze.

Yani katika kipicha hiki chote kulikuwa na vurugu kubwa sana huko youtube, huyu hata hajatrende vizuri mwengine ashaachia jiwe.

Nadhani kwa sasa hu utulivu uwe fursa kwa wasanii.

Goli lipo wazi

Hadi sasa video zinazotrend ni za mpira, kwenye muziki hali imetulia The coast is clear

1633443881161.png
 
Wenye hizo fujo ni WCB ,wanategea wenzao watoe wao waje na vurugu.

Maana Konde boy yupo US anahangaika na show zake ,Kiba katulia kwanza .Wao wanasikilizia upepo ngoja konde au Alikiba watoe utaona wote wanaziachia .
 
Naweka nukta.
 
Naona upo obsessed Sana na Wcb mbona diamond akitoa ngoma na wao wasanii wakatoa Ngoma mbona ulalamiki? diamond alivyomtambulisha Zuchu kesho yake konde akatangaza anamtambulisha Ibra Hili wewe ulilionaje?
 
Chawa huyu kashafika sasa.. 😀😀
 
Sio kwamba wasanii hawajaachia nyimbo wiki hii ila ni kwamba wale pendwa ndo wametulia... We subiri king kiba na album yake tar 7, au zuchu na lile song lake la kufungia mwaka... Kuna amapiano kutoka ukondeni, yakiachiwa hayo yote utaona youtube itavoshift the equillibrium
 
Wenye hizo fujo ni WCB ,wanategea wenzao watoe wao waje na vurugu.

Maana Konde boy yupo US anahangaika na show zake ,Kiba katulia kwanza .Wao wanasikilizia upepo ngoja konde au Alikiba watoe utaona wote wanaziachia .
Team Wachafu wa Roho
 
Naona upo obsessed Sana na Wcb mbona diamond akitoa ngoma na wao wasanii wakatoa Ngoma mbona ulalamiki? diamond alivyomtambulisha Zuchu kesho yake konde akatangaza anamtambulisha Ibra Hili wewe ulilionaje?
Legeza shingo mkuu, mada inazungumzia Youtube we unakuja na Habari za Zuchu na Ibra
 
Back
Top Bottom