Kwa Marekebisho haya ya Canon Laws( jus canonicum), Sister Susan Bathlomeo anayedaiwa kujiua afanyiwe ibada na heshima zote!

Alfred

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2008
Posts
2,093
Reaction score
2,843
DlsSSWUW0AAjU25.jpg

Mtumishi wa Mungu Dada na Mama yetu Sr. Suzan Barthlomeo amefariki dunia kwa tukio linaloaminika kujirusha toka Ghorofani baada ya Misa za Asubuhi!
Kikatoliki si Halali kwa Marehemu kufanyiwa ibada za Mazishi endapo Kifo chake kimetokana na Kujiua (suicide)!

ila Kwa Marekebisho haya ya Sheria za Kanisa (Canon Laws) Tusishangae kuona Sr. Akizikwa kwa taratibu na ibada zote zinazostahili (na iwe hivi)!

Canon inasemaje? Tureje Kidogo Kuhusu Sheria za Kanisa Kuhusu Misiba! (Hapa nitazungumzia Case ya Mtawa Huyu Ambayo itamtetea)

Can. 1184
. Isipokuwa walitoa ishara za toba kabla ya kifo, Case zifuatazo lazima zizuiwe katika mazishi ya kidini:

1 / sifa mbaya, wasioamini

2 / wale waliochagua kuungua kwa miili yao kwa sababu za kinyume na imani ya Kikristu;

3 / wengine wenye dhambi dhahiri ambao hawawezi kupewa mazishi ya kanisa bila ya kashfa ya watu waaminifu.

§2.
Ikiwa shaka yoy
ote hutokea (labda kuhusu kifo kilivyotokea au hali ya marehemu kabla ya kufa) Mashauriano yafanyike kama marehemu atapatiwa ibada ya mazishi au la!

Hayo Maandishi ya Blue, Case ya Mtawa huyu itaangukia Hapa (Mark my words) na atazikwa kwa taratibu zote zinazofaa na heshima Kubwa tu!

Pumzika kwa Amani sr. Suzan Bathlomeo!

ALFRED
 
Mods Nifanyieni Marekebisho ya Heading iwe :
Kwa Marekebisho haya ya Canon Laws( jus canonicum), Sister Susan Bathlomeo Afanyiwe ibada za mazishi na Heshima zote Zinazostahili!

Maxence Melo Moderator Invisible Paw
 
DlsSSWUW0AAjU25.jpg

Mtumishi wa Mungu Dada na Mama yetu Sr. Suzan Barthlomeo amefariki dunia kwa tukio linaloaminika kujirusha toka Ghorofani baada ya Misa za Asubuhi!
Kikatoliki si Halali kwa Marehemu kufanyiwa ibada za Mazishi endapo Kifo chake kimetokana na Kujiua (suicide)!

ila Kwa Marekebisho haya ya Sheria za Kanisa (Canon Laws) Tusishangae kuona Sr. Akizikwa kwa taratibu na ibada zote zinazostahili (na iwe hivi)!

Canon inasemaje? Tureje Kidogo Kuhusu Sheria za Kanisa Kuhusu Misiba! (Hapa nitazungumzia Case ya Mtawa Huyu Ambayo itamtetea)

Can. 1184
. Isipokuwa walitoa ishara za toba kabla ya kifo, Case zifuatazo lazima zizuiwe katika mazishi ya kidini:

1 / sifa mbaya, wasioamini

2 / wale waliochagua kuungua kwa miili yao kwa sababu za kinyume na imani ya Kikristu;

3 / wengine wenye dhambi dhahiri ambao hawawezi kupewa mazishi ya kanisa bila ya kashfa ya watu waaminifu.

§2. Ikiwa shaka yoyote hutokea (labda kuhusu kifo kilivyotokea au hali ya marehemu kabla ya kufa) Mashauriano yafanyike kama marehemu atapatiwa ibada ya mazishi au la!

Hayo Maandishi ya Blue, Case ya Mtawa huyu itaangukia Hapa (Mark my words) na atazikwa kwa taratibu zote zinazofaa na heshima Kubwa tu!

Pumzika kwa Amani sr. Suzan Bathlomeo!

ALFRED

From the Catechism of the Catholic Church:

#2280 “Everyone is responsible for his life before God who has given it to him. It is God who remains the sovereign Master of life. We are obliged to accept life gratefully and preserve it for his honour and the salvation of our souls. We are stewards, not owners, of the life God has entrusted to us. It is not ours to dispose of.”

#2281 “Suicide contradicts the natural inclination of the human being to preserve and perpetuate his life. It is gravely contrary to the just love of self. It likewise offends the love of neighbour because it unjustly breaks the ties of solidarity with family, nation, and other human societies to which we continue to have obligations. Suicide is contrary to love for the living God.”

#2282 “If suicide is committed with the intention of setting an example, especially to the young, it also takes on the gravity of scandal. Voluntary cooperation in suicide is contrary to the moral law. Grave psychological disturbances, anguish, or grave fear of hardship, suffering, or torture can diminish the responsibility of the one committing suicide.”

#2283 “We should not despair of the eternal salvation of persons who have taken their own lives. By ways known to him alone, God can provide the opportunity for salutary repentance. The Church prays for persons who have taken their own lives.”
 
Kuna mtu alikuja na uzi hapa siku chache zilizopita akilaumu kanisa kwa kukataa kumzika jamaa yake na kutoa taarifa kwa wakati mfupi.

Nikasema kanisa lina watu wake linaweza hata kuwatungia sheria maalum.

Watu ndio hawa, na sheria ndiyo hizi.
 
Kati ya CIC na CCC which one takes the upper hand? Bila kusahau Magisterium katika muktadha huu!
 
#2282 “If suicide is committed with the intention of setting an example, especially to the young, it also takes on the gravity of scandal. Voluntary cooperation in suicide is contrary to the moral law. Grave psychological disturbances, anguish, or grave fear of hardship, suffering, or torture can diminish the responsibility of the one committing suicide.”
Asante saana Nilisahau Kuquote Catechism, Kama tunavyoona Huu Mstari utamtetea vizuri sana dada yetu!
 
Kuna mtu alikuja na uzi hapa siku chache zilizopita akilaumu kanisa kwa kukataa kumzika jamaa yakena kutoataarifa kwa wakati mfupi.

Nikasema kanisa lina watu wake linaweza hata kuwatungia sheria maalum.

Watu ndio hawa, na sheria ndiyo hizi.
Mkuu kanisa lina taratibu zake, ambazo ukizifuata hakiharibiki kitu katika uhitaji wako!
 
Hapana, ingekuwa hivyo wanaohitaji kuishi bila kufa na kutotenganishwa na familia zao hata kwa muda mfupi, wasingekufa.
 
Kuna mtu alikuja na uzi hapa siku chache zilizopita akilaumu kanisa kwa kukataa kumzika jamaa yakena kutoataarifa kwa wakati mfupi.

Nikasema kanisa lina watu wake linaweza hata kuwatungia sheria maalum.

Watu ndio hawa, na sheria ndiyo hizi.
Naked Truth

don't invest in a woman
 
Hapana, ingekuwa hivyo wanaohitaji kuishi bila kufa na kutotenganishwa na familia zao hata kwa muda mfupi, wasingekufa.
Nadhani ulichokiandika hapa hakina connection na nilichokiandika mimi hapo Juu..
 
Unaruhusiwa kudhani vyovyote, ni haki yako ya kikatiba.

Ungesema unajua, ningeweza kukubishia.
 
Hapana, ingekuwa hivyo wanaohitaji kuishi bila kufa na kutotenganishwa na familia zao hata kwa muda mfupi, wasingekufa.
Okay Tusaidie kutufafanulia wazo lako hapa..
 
Naona mkuu umeamua kumtetea huyu marehemu ili tu azikwe kitakatifu kwa misa kuu na ubani. Sawa kabisa wala hakuna awezaye kupinga hicho. Ila nasema, Kwa kuwa alikuwa mtu mkuu na mtawa basi mengine yote; Let's just overlook them. Ikiwezekana, azikwe na maaskofu wote wa kanda ya ziwa.
Brothers, hata kama angelidumbukia kule ziwani, maadam tungeliona tu leso yake baada ya kutoweka kwa muda mrefu. Bado hiyo leso ingelizikwa kwa hishima nyingi. The problem is; Is it worth while to go into all these extent? Roho/nafsi ishatoka na sasa ipo hukumuni. Mwili ni mzoga tu na mbolea. No need of fighting how or where to bury it. Hata akichomwa kama wahindu.
 
Umeandika hivi

"Mkuu kanisa lina taratibu zake, ambazo ukizifuata hakiharibiki kitu katika uhitaji wako!"

Mtu anayehitaji kuishi bila kufa ili asitenganishwe na familia yake, hata akifuatilia vipi taratibu z akanisa, hawezi kupata hitaji lake hilo la kutofariki.

Hivyo si kwelikwamba taratibu za kanisa ukizifuata hakiharibiki kitu katika uhitaji wako.
 
Mkuu mbona wewe kwa uelewa wako haukutakiwa kuuliza Swali Illogical Kama Hili?
 
Naona mkuu umeamua kumtetea huyu marehemu ili tu azikwe kitakatifu kwa misa kuu na ubani. Sawa kabisa wala hakuna awezaye kupinga hicho. Ila nasema, Kwa kuwa alikuwa mtu mkuu na mtawa basi mengine yote; Let's just overlook them. Ikiwezekana, azikwe na maaskofu wote wa kanda ya ziwa.
Brothers, hata kama angelidumbukia kule ziwani, maadam tungeliona tu leso yake baada ya kutoweka kwa muda mrefu. Bado hiyo leso ingelizikwa kwa hishima nyingi. The problem is; Is it worth while to go into all these extent? Roho/nafsi ishatoka na sasa ipo hukumuni. Mwili ni mzoga tu na mbolea. No need of fighting how or where to bury it. Hata akichomwa kama wahindu.
Ibada za Mazishi mara nyingi si kwa ajili ya Marehemu, Zipo kwa ajili ya kuwakumbusha wakrsitu walio hai umuhimu wa kuishi katika kushikamana na kanisa
 
Back
Top Bottom