Kwa mashabiki wa Yanga

Kwa mashabiki wa Yanga

Slim dady

Member
Joined
Apr 15, 2020
Posts
43
Reaction score
343
Kwa wale washabiki wa Yanga na baadhi ya watangazaji wanaolalamika kuhusu habari za Yanga kutopostiwa kwenye pages za CAF Champions League

Kwanza mnatakiwa mfahamu kama haushiriki mashindano ya CAF CL au Confederation Cup huwezi kupostiwa

Mfano ukipitia page ya UEFA kwa msimu ulioisha huwezi kuta habari za Arsenal au Man U
 
Back
Top Bottom