Kwa masharti haya ya kwenye kazi ya Mochwari ungeweza?

Nimestaafu lakini naweza piga day worker bila shida
Kazi inaonekana ina hela sana hasa posho za wafiwa... changamoto usiku unaweza usipate usingizi, wewe kila siku unaona maiti tu sio jambo jepesi 😃
 
Mbona watu kibao hizo kazi wanafanya? Kuna jamaa kama wawili humu Jamiiforums wapo nchi za ughaibuni ndio mishe wanazofanya huko waliko?

Na familia zao zinaheshimika Sana hapa Tanzania
 
Hapo ni mwendo wa konyagi ndio uende kazini
 
Hayo masharti mbona maelekezo mengi Hadi la kwanza tumeisha sahau sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…