Kwa masikitiko makubwa huwa najiuliza hivi barabara ya Dodoma to Iringa ilijengwa kwa pesa za nani, au ilijengwa bure?

.malechela huyo
 
Mchina mhuni tu anatumika na wahuni serikali wao hawajali ubora
Ujenzi wa barabara walikuwa wanajenga KAJIMA,KONOIKE na ile kampuni ya kitaliano
Hawa wa sasa wahuni tuuu

Ova
 
Baraba, madaraja na miundo mbinu yote Danganyika iko hivyo. Ni suala a wakati kueleza ukweli.
 
Huyo unaemsifia ndio alikua waziri wa ujenzi kipindi hicho sijui tumlaumu nani.
Yule mtu alijua kuwatoa watu ufahamu,utadhani hiyo barabara imeharibika wakati yeye hajazaliwa kumbe na kandarasi alitoa mwenyewe
 
Alisimamia marehemu wa chato aliijenga dingi ake riziwani...alikuwa anjisifu kusimamia na kuziita barabara zake..
 
Upo sahihi imekamilika around 2013/2014.....uhuni tu hapo umefanyika maana mbao nyingi mpaka sasa na hata zamani zinakwenda kanda ya ziwa maana mbao za Iringa ni nafuu kuliko zinazotokea Buhindi hivyo hata Dodoma isingekuwa Makato Makuu bado malori ya mbao yangepita.

Hapo tuseme tumepigwa na mkandarasi na kutokana na hiyo barabara ilikuwa "rough road" bus enzi hizo (King Cross) zilikuwa zinatumia zaidi ya masaa 10 Kwa Dom - Iringa hivyo wahusika walikuwa na furaha wakasahau mambo ya kumbana mkandarasi. Miradi ya barabara mpya ambayo haijawahi kuwa na lami anapaswa kupewa mkandarasi haswa maana sehemu zingine huwa mpaka udongo huondolewa na kuletwa mwingine

Ila nilisikia kama itajengwa upya hata wazee wa kupiga meza walilalamika

Hata Spika nae anqlalamika barabara haina sifa ya kujengwa upya ila kwa jinsi ilivyo nayo ipo kwenye orodha ya kurudiwa

 
Na kwa wasiojua, Magufuli ndiye alilazimisha hii njia ijengwe,upembuzi ulionesha fedha zinazotakiwa ni nyingi ila kwa kuwa uchaguzi ulikuwa unakaribia yeye akalazimisha ijengwe kwa fedha kidogo iliyopo chini ya kiwango. Matokeo yake ndio hayo sasa.
 
Nadhani ikipita miaka 3 bila kufanyika kitu ni afadhali turudi kwenye vumbi tu ni hatari sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…