Kwa masikitiko makubwa huwa najiuliza hivi barabara ya Dodoma to Iringa ilijengwa kwa pesa za nani, au ilijengwa bure?

Kwa masikitiko makubwa huwa najiuliza hivi barabara ya Dodoma to Iringa ilijengwa kwa pesa za nani, au ilijengwa bure?

Kwa masikitiko makubwa huwa najiuliza hivi barabara ya Dodoma to Iringa ilijengwa kwa pesa za nani, ilijengwa bure?

Nani alikuwa mkandarasi, nani alitoa hela, nani alikagua, nani alikabidhiwa nk. Nafikiri kwa sasa moja ya barabara muhimu sana na za kimkakati kwa uchumi wa nchi ni hii barabara. Wastani wa maroli 250 hadi 300 kwa siku yanayobeba makaa ya mawe tu, bado haya mengine ya mazao, mbao, mabasi, gari binafsi nk.

Ukipita hii barabara ndio unawezajua kuwa tuliwahi kuwa na viongozi au vituko. Barabara ni mbovu mno mno na Nafikiri kama ina umri mkubwa basi ni close to 20 years only. Yaani lami hata kwa mkono unaweza ifumua halafu immediately unakutana na vumbi chini yake soo sad.

Mashimo ya kufa mtu, vilaka idadi haielezeki hivi ni nini hiki jamani Tanzania yetu....! Unakuta maintenance inafanyika kipande cha kilometres 2 mwaka mzima??...? Honest.....! Kuna mengi yanafikirisha sana anyway let's be patient....as usual Watanzania ni wastahimilivu.

Huyu mama angepita hiyo barabara hata siku moja tuu nafikiri angekuwa na cha kusema.
.malechela huyo
 
Mchina mhuni tu anatumika na wahuni serikali wao hawajali ubora
Ujenzi wa barabara walikuwa wanajenga KAJIMA,KONOIKE na ile kampuni ya kitaliano
Hawa wa sasa wahuni tuuu

Ova
 
Kwa masikitiko makubwa huwa najiuliza hivi barabara ya Dodoma to Iringa ilijengwa kwa pesa za nani, ilijengwa bure?

Nani alikuwa mkandarasi, nani alitoa hela, nani alikagua, nani alikabidhiwa nk. Nafikiri kwa sasa moja ya barabara muhimu sana na za kimkakati kwa uchumi wa nchi ni hii barabara. Wastani wa maroli 250 hadi 300 kwa siku yanayobeba makaa ya mawe tu, bado haya mengine ya mazao, mbao, mabasi, gari binafsi nk.

Ukipita hii barabara ndio unawezajua kuwa tuliwahi kuwa na viongozi au vituko. Barabara ni mbovu mno mno na Nafikiri kama ina umri mkubwa basi ni close to 20 years only. Yaani lami hata kwa mkono unaweza ifumua halafu immediately unakutana na vumbi chini yake soo sad.

Mashimo ya kufa mtu, vilaka idadi haielezeki hivi ni nini hiki jamani Tanzania yetu....! Unakuta maintenance inafanyika kipande cha kilometres 2 mwaka mzima??...? Honest.....! Kuna mengi yanafikirisha sana anyway let's be patient....as usual Watanzania ni wastahimilivu.

Huyu mama angepita hiyo barabara hata siku moja tuu nafikiri angekuwa na cha kusema.
Baraba, madaraja na miundo mbinu yote Danganyika iko hivyo. Ni suala a wakati kueleza ukweli.
 
Huyo unaemsifia ndio alikua waziri wa ujenzi kipindi hicho sijui tumlaumu nani.
Magu angekuwepo sasa hivi tz ingekuwa level zingine kimaendeleo,hiyo barabara ingefumuliwa zamani ,barabara ya Igawa Tunduma ingekuwa imekamilika, kitonga angesha pafumua ingekuwa ni tambarare, bandari ingekuwa imeboreshwa kwa viwango vya kisasa, barabara za wilaya na jiji nyingi zingekuwa zimekamilika, itoshe kusema he was visionary leader for Tanzania.
Hiyo barabara imejengwa Jiwe akiwa waziri wa ujenzi 💩 sukuma gang na wapenz wake Jiwe mnaposema jiwe lingekuepo lisingekubali nawaona wapuuzi sana...
Hiyo barabara imekuwa mbovu tangu Jiwe anakabidhiwa mamlaka, sukuma gang na wapenz wake mnaposema jiwe angekuepo angeijenga upya nawaona vilaza...
Yule mtu alijua kuwatoa watu ufahamu,utadhani hiyo barabara imeharibika wakati yeye hajazaliwa kumbe na kandarasi alitoa mwenyewe
 
Alisimamia marehemu wa chato aliijenga dingi ake riziwani...alikuwa anjisifu kusimamia na kuziita barabara zake..
 
Kwa mtazamo wangu nadhani wakati hii barabara inajengwa, hakuna aliyefikiri Dodoma itakuwa Jiji! Malori ya mbao na makaa ya mawe yatapita kwenye barabara hiyo, nk.

Yaani kiufupi haikujengwa kwa ajili ya kuhimili mizigo mizito. Wahuni walijenga kwa ajili ya kupita magari ya kawaida tu. Maana kwa kipindi kile, barabara ya Moro Dodoma ndiyo iliyokuwa ikitumika zaidi.

Na pia tukumbuke hii barabara ilijengwa enzi za utawala wa JK! Kama sijakosea ilikamilika 2013/2014!
Upo sahihi imekamilika around 2013/2014.....uhuni tu hapo umefanyika maana mbao nyingi mpaka sasa na hata zamani zinakwenda kanda ya ziwa maana mbao za Iringa ni nafuu kuliko zinazotokea Buhindi hivyo hata Dodoma isingekuwa Makato Makuu bado malori ya mbao yangepita.

Hapo tuseme tumepigwa na mkandarasi na kutokana na hiyo barabara ilikuwa "rough road" bus enzi hizo (King Cross) zilikuwa zinatumia zaidi ya masaa 10 Kwa Dom - Iringa hivyo wahusika walikuwa na furaha wakasahau mambo ya kumbana mkandarasi. Miradi ya barabara mpya ambayo haijawahi kuwa na lami anapaswa kupewa mkandarasi haswa maana sehemu zingine huwa mpaka udongo huondolewa na kuletwa mwingine

Ila nilisikia kama itajengwa upya hata wazee wa kupiga meza walilalamika

Hata Spika nae anqlalamika barabara haina sifa ya kujengwa upya ila kwa jinsi ilivyo nayo ipo kwenye orodha ya kurudiwa

Hiyo barabara imejengwa Jiwe akiwa waziri wa ujenzi 💩 sukuma gang na wapenz wake Jiwe mnaposema jiwe lingekuepo lisingekubali nawaona wapuuzi sana...
Hiyo barabara imekuwa mbovu tangu Jiwe anakabidhiwa mamlaka, sukuma gang na wapenz wake mnaposema jiwe angekuepo angeijenga upya nawaona vilaza...
Na kwa wasiojua, Magufuli ndiye alilazimisha hii njia ijengwe,upembuzi ulionesha fedha zinazotakiwa ni nyingi ila kwa kuwa uchaguzi ulikuwa unakaribia yeye akalazimisha ijengwe kwa fedha kidogo iliyopo chini ya kiwango. Matokeo yake ndio hayo sasa.
 
Nadhani ikipita miaka 3 bila kufanyika kitu ni afadhali turudi kwenye vumbi tu ni hatari sana
 
Back
Top Bottom