Afisa_Nkai
JF-Expert Member
- Jul 5, 2025
- 504
- 1,071
1. Nimeamua rasmi kuondoka JF.ππΌNimeamua rasmi kuondoka JF.ππΌ
Nimegundua ninapoteza muda mwingi
sana humu ndani, nitawamiss sana Wakuu. π
Nitarudi baada ya dakika 10
Hii ni nini jamani kaka mshana gallery yako inatisha, iko kama museumπ±
Ni story ndefu kakaakeπImekuaje
Mboga si mmekula lkn au huo ni mtego wa panyaπNi story ndefu kakaakeπ
Ndege katibu kaa kwa kutulia stay guided π, sutumii kilevi chochoteUlevi ni kitu mbofu. Ukikuwa umelewa hata mavitu unaandika havimake sense.
Ni vile tu stick haziruhusiwi kwa hii forum or else ningekuchapa ile mikwaju ya umbwa aliayeibanga eggs kwa neighbors' incubator.
stay guidedNyenzi kabisa chukua zana hiyo ukafanyie kazi bafuni kisha urudi hapa
View attachment 3600163
ila mshana π
ππ nina ID moja tu mkuuAnaeondoka haagi sema unarudi kwenye ile ID yako nyingine