Kwa masikitiko makubwa naandika huu uzi

Kwa masikitiko makubwa naandika huu uzi

Kila anapotokea masingo Maza hutoka nduki,
Wakidhani atawarushia mkuki,
wanadai jamaa anachuki,
eti kuwatukana siyo haki,
na kwamba anatafuta kiki,
Uzi wake aliouandika kwa biki,
ujaze wengi mashabiki.
Anakwambia kijana achana na ma feminist walioshuhudia alot of battles than a retired soldier 🪖 😁
 
Back
Top Bottom