Kwa masikitiko makubwa naandika huu uzi

Kwa masikitiko makubwa naandika huu uzi

Screenshot_20260602_215110_WhatsApp.jpg
 
Jamaa akiwapigia yale makelele yake mithili ya Misanya bingi, basi masingo Maza jukwaani hutimka mbio huku wameshikilia sketi zao zisipeperushwe na upepo 😂.
Hahahaa labda kama kawagusa penyewe! Kama haujapitia anayoyaimba humu hata hakuwazishi! Ndiomaana mi naenda nae sambamba wala simu ignore!
 
Back
Top Bottom