TANZIA Kwa masikitiko makubwa tunatangaza kifo cha ndugu yetu Mtanzania mwezetu Michael a.k.a Mike kilichotokea Afrika Kusini

Hata mi nashangaa, watu wamesha conclude jamaa yake ndo kamuua, wakati sioni hata evidence yoyote kwenye Hio habari
Hii tabia ya kukimbilia ku conclude mambo bila hata caveat emptor inakuwa kama utamaduni wa kitaifa siku hizi.
 
 
Hapo ni dhuluma ila kama binadamu Mbele yako nyuma yetu lala salama MIKE!
 
Atafutwe akakutanishwe nae,wabongo mafala sana
 
You rip what you sow. Some Thug Life dude met his Thug Life death, and that's about it.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ