Kwa maslahi makubwa ya nchi mechi ya Simba na yanga ipelekwe mbele kupisha mashindano ya kimataifa

Hayo ni maslahi ya mpira wetu au nchi kwa ujumla wake?!
Oloiniolo TieFueFu nalo hili mkalitizame....
 
ili timu zionekane zinaimarika lazma wacheze game ngumu kwa kufatana namna hii,so maoni yaangu game ibaki pale pale 16th april...
 
Sijajua kwani baada ya yanga kufikia hatua waliyofikia kwenye shirikisho,wamekuwa na dharau na kejeli zisizokuwa na msingi wowote.....wanaonekana kuwa na tension kubwa na game ya simba vs waydad kuliko simba wenyewe [emoji706][emoji706][emoji706].

Naomba niwakumbushe tu kwamba hiyo ni stage ya ushamba unaotokana na lack of exposure kwenye mafanikio kimataifa.
Mkipata uzoefu kama simba mtaacha wenyewe huu ushamba wenu [emoji19][emoji19]
 
Ebu cheki hii chupi nayo.
 
Kule matumizi ya akili hayaruhusiwi
 
Safari ya Nigeria kwani tunaenda na miguu, tuna siku nne free,mbili za kusafiri mbili za kupumzika kabla ya mechi.

Nyie huku mshaanza kulalamika Inonga kaumia,mara kiwanja Ihefu sasa hivi kina maji mengi sabau ya mvua wachezaji wataumia.

Kwa kifupi hamna sababu ya kupeleka derby mbele.
 
Hakuna kupeleka mbele hii mechi tunataka ubingwa wetu mapema,na msipoleta timu taifa tunawafata hukohuko bunju
 
Jibu umelipata.Inonga na Kibu D.
 
Hakuna kupeleka mbele hii mechi tunataka ubingwa wetu mapema,na msipoleta timu taifa tunawafata hukohuko bunju
Na kweli mlipata mnachokistahili.Double safi kwa hisani ya Inonga na Kibu D.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…