Kwa maslahi mapana ya chadema, Nawashauri wenye busara wamuombe mbowe kwa hekima akinusuru chama asigombee

Mbowe amuachie Chama Tundu Lisu ili udikteta wake usije ukaifanya CHADEMA Kuwa TLP
 
Yuko pale kwa kazi maalumu,hata akina Malisa wanalijua hilo na wao ni usalama wanaojifanya chadema
 
Ila tusiwe wasahaulifu sana mwamba wayback 2022 nadhani alishaweka wazi dhamira yake ya kupumzika akimaliza kipindi chake hiki
 
Mbowe amenishangaza sana kwa uzoefu wake lukuki kushindwa kusoma alama za nyakati dah mwamba ameniangusha sana...yaani anajazwa upepo na kakikundi kadogo ka vijana wa hovyo anasahau wanachadema tulio wengi tunataka nabadiliko yalio chini ya Lissu!!
Lissu ndio kiboko ya ma ccm yoote ndio maana wanapambana kuhakikisha mbowe anabaki kuwa mwenyekiti...iko wazi kabisa!!.
 
Anapewa moyo na machawa wake kina nyerere na Bonny Yai ambao hawana shughuli wanategemea viposho anavyawapa vya kujikimu!
Juzi kina nyerere kawapa posho ili wamnadi tena
 
Mbowe amenishangaza sana kwa uzoefu wake lukuki kushindwa kusoma alama za nyakati dah mwamba ameniangusha sana...yaani anajazwa upepo na kakikundi kadogo ka vijana wa hovyo anasahau wanachadema tulio wengi tunataka nabadiliko yalio chini ya Lissu!!
Lissu ndio kiboko ya ma ccm yoote ndio maana wanapambana kuhakikisha mbowe anabaki kuwa mwenyekiti...iko wazi kabisa!!.
Mbowe mzinguajj
 
Back
Top Bottom