Pre GE2025 Kwa maslahi mapana ya nchi ya Tanzania, Wabunge hawa hawatakiwi kukosa kwenye bunge la 2025-2030

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huo msemo "kwa maslahi mapana ya taifa" mwenye hati miliki nao ni Advocate Pascal Mayala.
So wewe unautumia pasipo kumshirikisha atakufungulia kesi umlipe Billion 50.
 
Tungekuwa na Tiss yenye weledi ingeratibu huu mchakato ili kuinusuru nchi

Lakini Cha kushangaza na wao wamekata tamaa wanasubiri mambo yajiendeshe liwalo na liwe huko mbele tuendako
Rushwa imeipofusha na kuiponza hii idara
Hakika ni simanzi kwa nchi iya Nyerere inayoyoma
 
Kwanza naunga mkono hoja TL aingie Bungeni, ule uchaguzi wa 2020, japo mimi ni miongoni mwa watu tuliomchagiza kugombea urais Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha uwezo zaidi ya Magufuli! lengo ni ili tuu kuutia joto urais mtu asiupate kwa ulaini kama anakwenda msalani, lakini mimi ni realist najua urais wa JMT una hakimiki ya chama kimoja tuu, chama dola CCM sio tu ni chama tawala, bali pia ni chama Dola!

Hivyo nilimuombea TL ate uliwahi ubunge kwa yule Blaza wangu For the sake of National Unity, Je tumshauri Dkt. Magufuli aahidi kumteua Tundu Lissu kuwa Mbunge?

Hivyo uchaguzi wa 2025, kama CCM itamsimamisha Samia, then Samia ndie mshindi wa uchaguzi wa 2025 hivyo kwanza nimeshauri wapinzani Kuelekea 2025 - Kama Upinzani unataka mafaniko ya kweli 2025, Iachane na Urais, Ujikite Serikali za Mitaa, Ubunge na Udiwani, Urais labda 2030!

Pili nikashauri Iwapo Watanzania wataamua 2025 twende na Mwanamke, mnaonaje tukiwashauri CHADEMA wasimamishe Mwanamke? Maana Mwanaume kushindwa na Mwanamke ni aibu!

Hivyo ili TL aingie Bungeni, then 2025 asigombee urais na Samia, badala yake agombee ubunge jimbo lake linaingizwa kwenye ule mpango wa nusu mkate.

Na hata akigombea akakosa, Rais Samia atamteua kwenye zile nafasi zake 10 hivyo 2025 Tundu Lissu Bungeni!.
P
 
🚮🚮🚮 , Unadhani Watanzania ni wajinga kwamba wanachagua maneno yasiyo na Msaada kwao? 😂😂
 
Mwabukuzi ni Rais wa TLS. Hata hivyo wote walioshiriki kuuza rasilimali za nchi hawafai kwa nafasi yoyote.
 
Plus Boniface Jacob
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…