Pre GE2025 Kwa maslahi mapana ya nchi ya Tanzania, Wabunge hawa hawatakiwi kukosa kwenye bunge la 2025-2030

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
TRUE

Hii inchi ipo gizani kweli kweli hao Makamanda wakiingia Nuru itataamalaki
 
Tanzania ni nchi ya vichekesho sana. Yaani ukionesha ukomedi tu hadharani basi watu wanakuita jembe. Hao wote uliowataja wote hakuna mwenye haiba ya uongozi zaidi ya uanaharakati na uropokaji tu. Muulize lisu anaamini katika falsafa ipi, hajui wala haelewi yeye mwenyewe anachokizunguzaga. Yuko dilemma tu hajui ahamie ccm au abaki chadema. Kiufupi amechanganyikiwa
 
Mbona hamna majina ya wanawake?
 
Angekuwa kanyanganyika, bibi yako angemuogopa kiasi hicho!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…