Bando la wiki
JF-Expert Member
- May 23, 2023
- 911
- 3,017
- Thread starter
- #41
Aisee, simjuihilda newton , MMM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee, simjuihilda newton , MMM
Tanzania ni nchi ya vichekesho sana. Yaani ukionesha ukomedi tu hadharani basi watu wanakuita jembe. Hao wote uliowataja wote hakuna mwenye haiba ya uongozi zaidi ya uanaharakati na uropokaji tu. Muulize lisu anaamini katika falsafa ipi, hajui wala haelewi yeye mwenyewe anachokizunguzaga. Yuko dilemma tu hajui ahamie ccm au abaki chadema. Kiufupi amechanganyikiwaHuu ni utabiri juu ya nini kitatokea 2025 hadi 2030, itakuwa ni wakati wa kuwakomoa watanganyika. Nchi itapigwa mnada bila hofu yoyote kwa sababu watanganyika hao hao viongozi ndio wanasapoti uuzaji huo uendelee.
Wananchi wa Ngorongoro wataondolewa ngorongoro wapende wasipende. Rasilimali muhimu za nchi kama misitu na madini hifadhini yatachibwa na wageni bila faida ya muda mrefu kwa vizazi vya kitanzania.
Hivyo kwa maslahi mapana ya taifa la Tanganyika wabunge wengi wa upinzani wanaitajika sana kwenye bunge la 2025 -2030.
Kwa mfano bunge siku za hivi karibuni limekuwa likiendelea pasipo wananchi kutokujua kwamba linaendelea, hivyo kupitia udhaifu huo bunge limekuwa likipitisha mambo mengi ya hovyo ambayo ni mzigo kwa wananchi wengi wa taifa hili. Mfano mzuri sasa hivi LUKU mwananchi wa kawaida analipia Kodi ya Thamani (VAT) wakati huo huo tunalipa matozo mengine ya ajabu kwenye LUKU hiyo hiyo (debt collection kutoka 1000 hadi 1500 ambayo TRA walikanusha kwamba hawahusiki kuikusanya). Hivyo tungekuwa na bunge la wazelendo mambo ya hovyo kama hayo ma double taxation yasingepitishwa na bunge letu tukufu.
Watu muhimu ambao wanapaswa wananchi tuwapeleke bungeni ni;
Wengine wa kuingia bungeni ni pamoja na;
- Joseph Mbilinyi (Sugu)
- John Heche
- John Mnyika
- Godbless Lema
- Boniface Jacob
- Tundu Lissu: huyu kiongozi hatakiwi kukosa kabisa bungeni. Kama chama kingeruhusu huyu kiongozi angegombea nafasi ya urais na ubunge kwa pamoja. Tundu Lissu ndie kiongozi pekee kwa upinzani anaweza kupambana na kiongozi yeyote wa CCM ngazi ya urais na yeye akaibuka mshindi. Lakini endapo atahujumiwa kwenye nafasi ya urais tusimkose kwenye bunge la 2025- 2030 atatusaidia sana kuzuia sheria mbovu na Madudu mengi.
Pamoja na mimi na wewe kama unahisi unao uzalendo wa kulipambania taifa la Tanzania na wananchi wake ili waweze kuumiliki uchumi wao.
- Peter Madeleka
- Peter Kibatala
- Boniface Mwambukusi
- Luhaga Mpina.
- John Pambalu
- Twaha Mwaipaya
Mnapenda kuwasemea sana wananchi kwamba sio wajinga 😁😁🚮🚮🚮 , Unadhani Watanzania ni wajinga kwamba wanachagua maneno yasiyo na Msaada kwao? 😂😂
Hakuna mwananchi anachagua maneno matupu wakati wewe unaenda Kila hela.Mnapenda kuwasemea sana wananchi kwamba sio wajinga 😁😁
Kwamba ccm huwa mnatoa rushwa ili mchaguliwe?Hakuna mwananchi anachagua maneno matupu wakati wewe unaenda Kila hela.
Anaetoa kitu ndio anachaguliwa
Mbona hamna majina ya wanawake?Huu ni utabiri juu ya nini kitatokea 2025 hadi 2030, itakuwa ni wakati wa kuwakomoa watanganyika. Nchi itapigwa mnada bila hofu yoyote kwa sababu watanganyika hao hao viongozi ndio wanasapoti uuzaji huo uendelee.
Wananchi wa Ngorongoro wataondolewa ngorongoro wapende wasipende. Rasilimali muhimu za nchi kama misitu na madini hifadhini yatachibwa na wageni bila faida ya muda mrefu kwa vizazi vya kitanzania.
Hivyo kwa maslahi mapana ya taifa la Tanganyika wabunge wengi wa upinzani wanaitajika sana kwenye bunge la 2025 -2030.
Kwa mfano bunge siku za hivi karibuni limekuwa likiendelea pasipo wananchi kutokujua kwamba linaendelea, hivyo kupitia udhaifu huo bunge limekuwa likipitisha mambo mengi ya hovyo ambayo ni mzigo kwa wananchi wengi wa taifa hili. Mfano mzuri sasa hivi LUKU mwananchi wa kawaida analipia Kodi ya Thamani (VAT) wakati huo huo tunalipa matozo mengine ya ajabu kwenye LUKU hiyo hiyo (debt collection kutoka 1000 hadi 1500 ambayo TRA walikanusha kwamba hawahusiki kuikusanya). Hivyo tungekuwa na bunge la wazelendo mambo ya hovyo kama hayo ma double taxation yasingepitishwa na bunge letu tukufu.
Watu muhimu ambao wanapaswa wananchi tuwapeleke bungeni ni;
Wengine wa kuingia bungeni ni pamoja na;
- Joseph Mbilinyi (Sugu)
- John Heche
- John Mnyika
- Godbless Lema
- Boniface Jacob
- Tundu Lissu: huyu kiongozi hatakiwi kukosa kabisa bungeni. Kama chama kingeruhusu huyu kiongozi angegombea nafasi ya urais na ubunge kwa pamoja. Tundu Lissu ndie kiongozi pekee kwa upinzani anaweza kupambana na kiongozi yeyote wa CCM ngazi ya urais na yeye akaibuka mshindi. Lakini endapo atahujumiwa kwenye nafasi ya urais tusimkose kwenye bunge la 2025- 2030 atatusaidia sana kuzuia sheria mbovu na Madudu mengi.
Pamoja na mimi na wewe kama unahisi unao uzalendo wa kulipambania taifa la Tanzania na wananchi wake ili waweze kuumiliki uchumi wao.
- Peter Madeleka
- Peter Kibatala
- Boniface Mwambukusi
- Luhaga Mpina.
- John Pambalu
- Twaha Mwaipaya
Unadhani nani Huwa hautoi huko Chadomo?Kwamba ccm huwa mnatoa rushwa ili mchaguliwe?
Kweli kama nchi tunasafari nzito sana🤔Unadhani nani Huwa hautoi huko Chadomo?
Hali ya nchi ilipofikia busara zake hazina nafasi🚮🚮Mbowe busara zake n muhimu sana upande wa upinzani.
Sana mkuuKweli kama nchi tunasafari nzito sana🤔
Kweli kabisa mkuuHali ya nchi ilipofikia busara zake hazina nafasi🚮🚮
Mbona nishakubali kwamba wapinzani ni wakristo tu!Taja mpinzani mwislamu anaempinga Samia na serikali yake nim add kwenye list🤔
Angekuwa kanyanganyika, bibi yako angemuogopa kiasi hicho!Tanzania ni nchi ya vichekesho sana. Yaani ukionesha ukomedi tu hadharani basi watu wanakuita jembe. Hao wote uliowataja wote hakuna mwenye haiba ya uongozi zaidi ya uanaharakati na uropokaji tu. Muulize lisu anaamini katika falsafa ipi, hajui wala haelewi yeye mwenyewe anachokizunguzaga. Yuko dilemma tu hajui ahamie ccm au abaki chadema. Kiufupi amechanganyikiwa