Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa mbona ni dini Moja?au mnaenda kufungua kanisa?..hapo asubuhi mkianza mnaanza na salamu maria....Huu ni utabiri juu ya nini kitatokea 2025 hadi 2030, itakuwa ni wakati wa kuwakomoa watanganyika. Nchi itapigwa mnada bila hofu yoyote kwa sababu watanganyika hao hao viongozi ndio wanasapoti uuzaji huo uendelee.
Wananchi wa Ngorongoro wataondolewa ngorongoro wapende wasipende. Rasilimali muhimu za nchi kama misitu na madini hifadhini yatachibwa na wageni bila faida ya muda mrefu kwa vizazi vya kitanzania.
Hivyo kwa maslahi mapana ya taifa la Tanganyika wabunge wengi wa upinzani wanaitajika sana kwenye bunge la 2025 -2030.
Kwa mfano bunge siku za hivi karibuni limekuwa likiendelea pasipo wananchi kutokujua kwamba linaendelea, hivyo kupitia udhaifu huo bunge limekuwa likipitisha mambo mengi ya hovyo ambayo ni mzigo kwa wananchi wengi wa taifa hili. Mfano mzuri sasa hivi LUKU mwananchi wa kawaida analipia Kodi ya Thamani (VAT) wakati huo huo tunalipa matozo mengine ya ajabu kwenye LUKU hiyo hiyo (debt collection kutoka 1000 hadi 1500 ambayo TRA walikanusha kwamba hawahusiki kuikusanya). Hivyo tungekuwa na bunge la wazelendo mambo ya hovyo kama hayo ma double taxation yasingepitishwa na bunge letu tukufu.
Watu muhimu ambao wanapaswa wananchi tuwapeleke bungeni ni;
Wengine wa kuingia bungeni ni pamoja na;
- Joseph Mbilinyi (Sugu)
- John Heche
- John Mnyika
- Godbless Lema
- Boniface Jacob
- Tundu Lissu: huyu kiongozi hatakiwi kukosa kabisa bungeni. Kama chama kingeruhusu huyu kiongozi angegombea nafasi ya urais na ubunge kwa pamoja. Tundu Lissu ndie kiongozi pekee kwa upinzani anaweza kupambana na kiongozi yeyote wa CCM ngazi ya urais na yeye akaibuka mshindi. Lakini endapo atahujumiwa kwenye nafasi ya urais tusimkose kwenye bunge la 2025- 2030 atatusaidia sana kuzuia sheria mbovu na Madudu mengi.
Pamoja na mimi na wewe kama unahisi unao uzalendo wa kulipambania taifa la Tanzania na wananchi wake ili waweze kuumiliki uchumi wao.
- Peter Madeleka
- Peter Kibatala
- Boniface Mwambukusi
- Luhaga Mpina.
- John Pambalu
- Twaha Mwaipaya
Akili yako ikiwaza udini muda wote unawaza ugolo tuSasa mbona ni dini Moja?au mnaenda kufungua kanisa?..hapo asubuhi mkianza mnaanza na salamu maria....