Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 18,875
- 29,427
Wangetumia njia hiyo wasingeweza kuwakanili wale mahayawani. Maana wakati wanalianzisha Kimara kumbuka na Tunduma likaanza mufa huo huo.Jeshi la polisi kitengo cha kutuliza ghasia wanamafunzo ya aina gani? Vitendea kazi vyao ni vipi?
1. Mbwa
2. Mabomu ya machozi
3. Maji ya kuwasha
4. Risasi za mpira
5. Farasi.
Kwenye kadhia ya 30.10.2025 wakitumia nini?
Solution ilikuwa ni kuua?
Halafu ndani ya nusu saa tukasikia Gongolamboto, Sinza, Tarime, Mbeya, Mwanza na Arusha.
Believe me hakukuwa na njia nyingine zaidi ya risasi za moto.
Na hizi risasi ni zinanunuliwa kwa kodi zetu siyo zikae kwenye maghala au kutumika kwenye gwaride Ni jwa ajili ya kuua maadui wa nje na wa ndani.