Mlalamikaji daily
JF-Expert Member
- May 19, 2014
- 744
- 1,621
Hawa ni machawa!Kumbuka hawa wote ndio walikuwa kwenye awamu iliyopita, awamu ambayo ilikua ni laana kumuongezea mtumishi mshahara au kumpandisha daraja.
Kwa miaka 7 waliyokaa ilikua michungu Sana.
Pamoja na nia njema ya mama kwa wafanyakazi lakini naona wazi wazi watu niliowataja hapo juu, nia njema hii ya mama haiwezekani kufanyika hata!
Piga chini hawa.
Mbona kama hueleweki? Au umelewa!?Kumbuka hawa wote ndio walikuwa kwenye awamu iliyopita, awamu ambayo ilikua ni laana kumuongezea mtumishi mshahara au kumpandisha daraja.
Kwa miaka 7 waliyokaa ilikua michungu Sana.
Pamoja na nia njema ya mama kwa wafanyakazi lakini naona wazi wazi watu niliowataja hapo juu, nia njema hii ya mama haiwezekani kufanyika hata!
Piga chini hawa.
Mfia dini huyo. Wa kwake hataki aguswe, yeye ni kuhangaika na Wagalatia tu!! Mwigulu na Nape majina yao yangeanza na Hussein, Suleiman au Abdul wala asingeandika upumbavu huuKwahiyo wewe mpumbavu unaamini Rais samia anaweza kuwa na nia njema mawaziri wapinge?
Watu km wewe wenye akili ndogo huna hata hadhi ya kuajiriwa kuwa mkata nyasi
Naomba uniajiri mimi niwe mkata nyasiKwahiyo wewe mpumbavu unaamini Rais samia anaweza kuwa na nia njema mawaziri wapinge?
Watu km wewe wenye akili ndogo huna hata hadhi ya kuajiriwa kuwa mkata nyasi
Huyu mpumbavu akikujibu unitagKwahiyo wewe mpumbavu unaamini Rais samia anaweza kuwa na nia njema mawaziri wapinge?
Kwamba dawa ni kubadilisha wapya kabisa ndyo ingesaidia,, chamsingi pigeni kaziKumbuka hawa wote ndio walikuwa kwenye awamu iliyopita, awamu ambayo ilikua ni laana kumuongezea mtumishi mshahara au kumpandisha daraja.
Kwa miaka 7 waliyokaa ilikua michungu Sana.
Pamoja na nia njema ya mama kwa wafanyakazi lakini naona wazi wazi watu niliowataja hapo juu, nia njema hii ya mama haiwezekani kufanyika hata!
Piga chini hawa.
Wewe ungekuwa mwalimu ingebidi ufukuzwe kazi kwa upendeleo wa maksi. Hiyo akili ndogo uliyompa umempendelea sana huyo ilibidi useme Hana akili☹️☹️Kwahiyo wewe mpumbavu unaamini Rais samia anaweza kuwa na nia njema mawaziri wapinge?
Watu km wewe wenye akili ndogo huna hata hadhi ya kuajiriwa kuwa mkata nyasi
Haa aliambiwa aropoke kuwa atawaongezea watu watu misha mishahara ili amfunike mtangulize wwke watu wakapiga makofi alipoenda hazina akakuta amna kituHii nchi kipato chake ni kidogo sana. Deni la taifa na mishahara na posho vinakula zaidi ya 50% ya makusanyo. Huyo Raisi mjinga hivyo wa kuwaongeza mshahara mtampata wapi nyie. C kwamba Samia hapendi ila Hana ujanja