hamada umelewa
JF-Expert Member
- Dec 17, 2017
- 428
- 791
Aanze huyo the so called "mama" kama hawezi kutimiza nia yake njema hafai kituKumbuka hawa wote ndio walikuwa kwenye awamu iliyopita, awamu ambayo ilikua ni laana kumuongezea mtumishi mshahara au kumpandisha daraja.
Kwa miaka 7 waliyokaa ilikua michungu Sana.
Pamoja na nia njema ya mama kwa wafanyakazi lakini naona wazi wazi watu niliowataja hapo juu, nia njema hii ya mama haiwezekani kufanyika hata!
Piga chini hawa.