Kwa maslahi mapana ya watumishi wa Umma Mwigulu, Jenista Mhagama na Ndalichako watoke kwenye Baraza la Mawaziri

Kumbuka hawa wote ndio walikuwa kwenye awamu iliyopita, awamu ambayo ilikua ni laana kumuongezea mtumishi mshahara au kumpandisha daraja.

Kwa miaka 7 waliyokaa ilikua michungu Sana.

Pamoja na nia njema ya mama kwa wafanyakazi lakini naona wazi wazi watu niliowataja hapo juu, nia njema hii ya mama haiwezekani kufanyika hata!

Piga chini hawa.
Aanze huyo the so called "mama" kama hawezi kutimiza nia yake njema hafai kitu
 
Haa aliambiwa aropoke kuwa atawaongezea watu watu misha mishahara ili amfunike mtangulize wwke watu wakapiga makofi alipoenda hazina akakuta amna kitu
Sasa pale mei mosi angechomokaje bila kaneno ka faraja mkuu
 
Dah aisee , Siasa ni sanaa nyepesi sana . Yani mtu anatamka tu alafu anapotea .

Ahadi haimaanishi utekelezaji.

Mpewa hajui mfukoni kwa mtoaji kuna nini?
 
Watumishi hawajaongezewa mishahara kwa sababu bandari kwa sasa haizalishi chochote, wasubiri uwekezaji ufanyike watapewa zaidi ya walichotakiwa kupata sasa. Asante
 
Kumbuka hawa wote ndio walikuwa kwenye awamu iliyopita, awamu ambayo ilikua ni laana kumuongezea mtumishi mshahara au kumpandisha daraja.

Kwa miaka 7 waliyokaa ilikua michungu Sana.

Pamoja na nia njema ya mama kwa wafanyakazi lakini naona wazi wazi watu niliowataja hapo juu, nia njema hii ya mama haiwezekani kufanyika hata!

Piga chini ha

Unaonaje wakiondolewa ukawekwa wewe hapo, ungeongeza mishahara kwa asilimia ngapi? 😆 😆 😆
 
Kumbuka hawa wote ndio walikuwa kwenye awamu iliyopita, awamu ambayo ilikua ni laana kumuongezea mtumishi mshahara au kumpandisha daraja.

Kwa miaka 7 waliyokaa ilikua michungu Sana.

Pamoja na nia njema ya mama kwa wafanyakazi lakini naona wazi wazi watu niliowataja hapo juu, nia njema hii ya mama haiwezekani kufanyika hata!

Piga chini hawa.
Basi mwambie na mama, makamu,waziri mkuu, Mwigulu,Bachungwa,Doto,Mbarawa, Gwajima, Mwinyi,Uledi na wengineo wengi watoke sababu wote walikuwa awamu ya 5
 
Wafanyakazi waliambiwa wataongezewa mishahara kimyakimya!! Badala yake mishahara imegandishwa hapo hapo kimyakimya!
 
Kwahiyo wewe mpumbavu unaamini Rais samia anaweza kuwa na nia njema mawaziri wapinge?

Watu km wewe wenye akili ndogo huna hata hadhi ya kuajiriwa kuwa mkata nyasi
ulivoanza na tusi ni kama wamekubaka alafu unaona na wengine wabakwa
 
Kumbuka hawa wote ndio walikuwa kwenye awamu iliyopita, awamu ambayo ilikua ni laana kumuongezea mtumishi mshahara au kumpandisha daraja.

Kwa miaka 7 waliyokaa ilikua michungu Sana.

Pamoja na nia njema ya mama kwa wafanyakazi lakini naona wazi wazi watu niliowataja hapo juu, nia njema hii ya mama haiwezekani kufanyika hata!

Piga chini hawa.
Mwanangu Mwigulu ???!!!
 
Back
Top Bottom