Kwa maswali haya sina imani na sensa tena

Kwa maswali haya sina imani na sensa tena

2019

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2018
Posts
3,130
Reaction score
4,735
Mpaka sasa sijahesabiwa ila kwa maswali haya sitaki kumwona karani nyumbani kwangu
1. Unalipa kodi au umepanga,kama ni kodi unalipa sh ngap? Swala la kodi linamuusu nini?
2. Mmachinga au mlipa kodi? Dah!!!

Ndoa yenu ina amani au mgogoro?
 
Hili swali la pili aje kukuhoji mdada unachotakiwa kumuonyesha ni nyeti ikiwa imesimama hatari then Una mwambia Hali ya mahusiano ndio kama hivo hapo atajua upo single na unataka utelezi wake .....chap Kwa haraka
 
Sio siku nyingi tutaambiwa serikali imekuja na mpango wa kodi kwa wanaoishi nyumba za kupanga... apo ukumbuke tunalipa ile ya kwene umeme
 
Ni kweli wanauliza haya maswali?😅
Hahaha...
Em pitia hapa:
 
Maswali ya sensa bana eti anauliza natumia mkaa au gesi dah kwani wanataka kutununulia gesi?
Yaaan ni upumbavu wa kutupwa, taarifa ambazo wangeweza kuzipata kwene makampuni yanayofanya biashara izo tu... kama ni iyo mipango wakapanga... kuchoshana
 
Nineulizwa,
1. Siku saba zilizopita ulikuwa unafanya nini? Namwambia sikufanya kitu. Nilikuwa hapa tu na smart yangu nasoma document after document after document.
2. Unayo smart phone? Unayo simu ambayo siyo smart phone?
Smart phone unaitumia kwa ajili gani: mawasiliano,miamala au kujifunza?
3. Umetafuta kazi katika wiki iliyopita,katika mwezi mmoja uliopita?(nilimwambia sifanyi kazi).
4. Fursa ilitokea ya kufanya kazi,unataka kufanya kazi gani?
5. Una kiwanja? No.
6. Una shamba? No.
7. Elimu yako?(Nimemwambia B.A. Bachelor of Arts). Ain't that something?
Unajua hapa kuna prying questions. Sijui serikali Ina mipango gani.
1967,mimi nilikuwa karani wa sensa,nauliza watu maswali Rufiji.
 
Jitahidini tu kujibu, maswali yamesetiwa na beberu mwenyewe sisi tumetumwa tu...
 
Come back yake italiza wengi sana,kuna jambo limejificha tu ndani
 
Back
Top Bottom