Kwa Matajiri wa JF

Kwa Matajiri wa JF

Elisha Unapatikana wapi? Na wataka ufanye biashara gani? Maana zipo tasisi zinakopesha wakulima na Uwe na shamba na nyumba marejesho kipindi cha mavuno dhamana ni nyumba, shamba lenyewe, mke ama mume naye anakuwa mdhamini Namba moja muwe na cheti cha ndoa. Hivyo hivyo kwa wenye biashara nao wanakopeshwa kwa dhamana ya biashara na familia kwa mazingira haya msaada waweza atikana kwa ndugu tuu wenye moyo wa upendo.
 
Gharama za pango ninapoishi ni Shs laki moja na nusu! Niliwaza kutumia Shs milioni mbili laki Tano kufanya ukarabati na inayobaki nifanye biashara! Niliwaza kufanya biashara ya mitumba
We una hela watu wanaishi nyumba ya 20000 kwa mwezi
 
Matajiri wa JF na wakutimizie hitaji la moyo wako.
Amina🙏
 
Wengi tuna uhitaji wa pesa japo JF kila mtu anajitutumua kwa kujiona tajiri ila wengi wana fake maisha ni lowlife
 
Back
Top Bottom