Kwa mateso aliyepewa Mwenyekiti wa CHADEMA Makumbusho hawa watu wamebakiza kujenga gas Chambers

Kwa mateso aliyepewa Mwenyekiti wa CHADEMA Makumbusho hawa watu wamebakiza kujenga gas Chambers

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
2,268
Reaction score
7,119
Mzee mzima kama huyu anatekwa anafungwa macho anavuliwa nguo na kupigwa na kupigwa picha akiwa uchi

Next time ni gas chamber tu
 
propaganda ngumu jifunze kutofautisha maelezo ya kinembe cha taifa
 
Back
Top Bottom