Kwa matokeo haya anaweza kusoma Certificate in Nursing au kuchaguliwa advance?

Kwa matokeo na ufaulu ulivo sijui kama hiyo CBG ataipata. Hivi taasusi mpya zinaaanza mwaka gani make CBG katika hizo mpya wametoa
Kama CBD wameitoa watakuwa wamefanya jambo la maana sana; hii comb inajifunga - masomo hayana uhusiano wa karibu. Huyo dogo namshauri akasome pharmacy
 
CIV - 'C' HIST - 'C' GEO - 'D' KISW - 'C' ENGL - 'D' CHEM - 'C' BIO - 'C' B/MATH - 'D' COMM - 'D'
Hivi hawa walimu huwa wanawashauri vipi watoto?
Mtoto anasoma Commerce na Chemistry ili iweje?
No future
 
Kama CBD wameitoa watakuwa wamefanya jambo la maana sana; hii comb inajifunga - masomo hayana uhusiano wa karibu. Huyo dogo namshauri akasome pharmacy
Watu wa CBG mwisho wa siku unakuta wanasoma kozi kama watu wa arts...Hiyo comb ukisoma mpaka uje kuapply chuo unakuja kugundua sehemu kozi nyingi za sayansi hauwezi kusoma
 
Shule nyingi kwa hapa Tanzania ubabaishaji mwingi...hawafanyi career Guidance and counselling...wao wanachopambana ni kufaulisha...In short Wana wanaharibu Sana future za watoto
 
Rafiki yangu amesoma kwa intention ya kusoma mambo ya medecine au doctor mwisho wa siku kaenda pale Ardhi kupambana na watu wa HGL.
 
IMG-20240606-WA0014.jpg
 
Back
Top Bottom