Kamakabuzi
JF-Expert Member
- Dec 3, 2007
- 2,903
- 1,360
Kama CBD wameitoa watakuwa wamefanya jambo la maana sana; hii comb inajifunga - masomo hayana uhusiano wa karibu. Huyo dogo namshauri akasome pharmacyKwa matokeo na ufaulu ulivo sijui kama hiyo CBG ataipata. Hivi taasusi mpya zinaaanza mwaka gani make CBG katika hizo mpya wametoa
CBG imefutwaNarudia usije mpeleka mtt wako akasome CBG utalia
Kumbe CBG imefutwa, comb za Sayansi Advanced zilizopo ni zipi mtaala mpyaCBG imefutwa
Ni kweli kabisaaa.Watt wanefaulu sn sshv
Aende chuo tu
Hivi hawa walimu huwa wanawashauri vipi watoto?CIV - 'C' HIST - 'C' GEO - 'D' KISW - 'C' ENGL - 'D' CHEM - 'C' BIO - 'C' B/MATH - 'D' COMM - 'D'
Watu wa CBG mwisho wa siku unakuta wanasoma kozi kama watu wa arts...Hiyo comb ukisoma mpaka uje kuapply chuo unakuja kugundua sehemu kozi nyingi za sayansi hauwezi kusomaKama CBD wameitoa watakuwa wamefanya jambo la maana sana; hii comb inajifunga - masomo hayana uhusiano wa karibu. Huyo dogo namshauri akasome pharmacy
Shule nyingi kwa hapa Tanzania ubabaishaji mwingi...hawafanyi career Guidance and counselling...wao wanachopambana ni kufaulisha...In short Wana wanaharibu Sana future za watotoWatu wa CBG mwisho wa siku unakuta wanasoma kozi kama watu wa arts...Hiyo comb ukisoma mpaka uje kuapply chuo unakuja kugundua sehemu kozi nyingi za sayansi hauwezi kusoma
Watu wa CBG mwisho wa siku unakuta wanasoma kozi kama watu wa arts...Hiyo comb ukisoma mpaka uje kuapply chuo unakuja kugundua sehemu kozi nyingi za sayansi hauwezi kusoma
Rafiki yangu amesoma kwa intention ya kusoma mambo ya medecine au doctor mwisho wa siku kaenda pale Ardhi kupambana na watu wa HGL.Shule nyingi kwa hapa Tanzania ubabaishaji mwingi...hawafanyi career Guidance and counselling...wao wanachopambana ni kufaulisha...In short Wana wanaharibu Sana future za watoto
Very sadHivi hawa walimu huwa wanawashauri vipi watoto?
Mtoto anasoma Commerce na Chemistry ili iweje
Kama amepita kimagushi bac n bahati yake lkn atakutana na mfumo wa TCU akienda kuchukua bachelor... na automatic utamtema akiingiza individual no. ya form 4Mi Nina mtu anamalizia mwaka hivyo[emoji1787]
ana umri gani kwanza nataka nikupe wazo nje ya shuleCIV - 'C' HIST - 'C' GEO - 'D' KISW - 'C' ENGL - 'D' CHEM - 'C' BIO - 'C' B/MATH - 'D' COMM - 'D'
Kwann utalia?Narudia usije mpeleka mtt wako akasome CBG utalia
Ana Miaka 18ana umri gani kwanza nataka nikupe wazo nje ya shule