Bendera ya Bati
JF-Expert Member
- Apr 6, 2011
- 279
- 369
Akasante sana,amekusoma.Anaweza kuapply most facult za Baed na loan akapata hata 100%. Awe care na vyuo vya kuomba.
anaweza kusoma kwenye hivi vya kata! UD sidhani kama inawezekana!
Ni vipi hivyo vya kata? Tcu inavitambua?anaweza kusoma kwenye hivi vya kata! UD sidhani kama inawezekana!
Mimi mdogo wangu ana Three ya 17,HGL(fde) atapata chuo jamani? Msaada please!!!
Ndugu yangu kapata matokeo yake ya kidato cha sita,amepata div.3 ya 14 katika combination ya HGK .
Wakuu bila kuwaficha haya matokeo kwenda versity ni ngumu labda muwe na marefa wa maana sana. Labda waende diploma kisha wataunganisha, otherwise ni ngumu. Siwakatishi tamaa ila nawaeleza ukweli ili msiwe na false hopes!Mimi mdogo wangu ana Three ya 17,HGL(fde) atapata chuo jamani? Msaada please!!!
Licha ya TCU ku-regulate, kila chuo kina cut-off point zake! Ndiyo maana unaweza kukuta UD wakamkataa Mzumbe wakamchukua au IFM, this is natural you don't have to argue about!vya kata kama? i thought now TCU is regulating the selection,that to be admitted to any university u shd possess agiven qualification!
Ila hapa bongo usijeshangaa ukamkuta ka-join kwa hizo hizo points! Bongo njia zipo nyingi!!!!!Wakuu bila kuwaficha haya matokeo kwenda versity ni ngumu labda muwe na marefa wa maana sana. Labda waende diploma kisha wataunganisha, otherwise ni ngumu. Siwakatishi tamaa ila nawaeleza ukweli ili msiwe na false hopes!
Kwa matokeo yake anatakiwa kuomba kusoma kozi yoyote ya ualimu na atapata bila shaka na mkopo juu.
akiomba kozi tofauti na ualimu kupata ni bahati nasibu na mkopo hawezi pata.
Huo ndio uhalisia,uamuzi ni wenu.
Mheshimiwa kwani hujui kwamba bongo nafasi za Ualimu, Upolisi, Jeshi na manesi wa hospitali ndo zimeachwa kama last resort ya lower grades? Sijui aliyeasisi huu mwelekeo!Mkuu inaonekana kama vile unaidharau fani ya ualimu. Sasa huyo akienda kusoma ualimu awe mwalimu utakubali aje kundisha mtoto wako? Naye kapata lower grades b'se inawezekana walimu waliomfundisha nao walikimbilia ualimu baada ya kupata grade za chini. Bora kuiheshimu hii fani ya ualimu kama tunataka kuepukana na grade mbaya. Utaniambia ndio tulivyo watanzania lakini inabidi tubadilike kwa kweli. Tuheshimu fani ya uliamu. Labda utaniambia asomee ualimu halafu atabadilisha fani huko mbele, lakini wakati akisubiri kubadalisha fani atakuwa tayari ameshafelisha wangapi?
By the way, kwani yeye anataka kusoma ualimu. Let him/her pursue his/her dream. Kama ana dream but qualifications hana then arudie. Sioni kama ni vizuri kumshari mtu akasomee ualimu wakati hiyo fani haipo kichwani kwake. Kama dream yake ni kuwa mwalimu then, let him do that.
Mkuu inaonekana kama vile unaidharau fani ya ualimu. Sasa huyo akienda kusoma ualimu awe mwalimu utakubali aje kundisha mtoto wako? Naye kapata lower grades b'se inawezekana walimu waliomfundisha nao walikimbilia ualimu baada ya kupata grade za chini. Bora kuiheshimu hii fani ya ualimu kama tunataka kuepukana na grade mbaya. Utaniambia ndio tulivyo watanzania lakini inabidi tubadilike kwa kweli. Tuheshimu fani ya uliamu. Labda utaniambia asomee ualimu halafu atabadilisha fani huko mbele, lakini wakati akisubiri kubadalisha fani atakuwa tayari ameshafelisha wangapi?
By the way, kwani yeye anataka kusoma ualimu. Let him/her pursue his/her dream. Kama ana dream but qualifications hana then arudie. Sioni kama ni vizuri kumshari mtu akasomee ualimu wakati hiyo fani haipo kichwani kwake. Kama dream yake ni kuwa mwalimu then, let him do that.