Mawazo ya kijinga, wakifeli mnadai hamlipwi vizuri mmegoma kufundisha,
wakifaulu mnasema mmefundisha kwa nguvu zote.
Elimu ya tanzania ilishakufa toka ilipoanzishwa.
Haya tunaangalia ngonjera na maigizo sawa na FUTUHI
MWAKA 2013: A = 80 100; B = 75 - 79;
C = 65 74; D = 55 64; E= 45 54; S =
40 44 na F =0 39.
Hivyo vilikuwa viwango vya ufaulu 2013 linganisha na vya sasa.
dont be brain washed, a big maneuver is played here, kuanzia utungaji wa mitihani mpaka usahishaji, mimi nimesoma elimu bora katika shule bora, lakini pia nimesoma elimu mbovu katika shule mbovu, na hawa wanafunzi waliomaliza wamefaulu kwa kiasi hiki kwa sababu ya aina ya mitihani, aina ya usahishaji na alama zenyewe. kuna muda tulikuwa in best schools but when it comes to exams, sometimes mnakutana na maswali out of topic, tumelalamikia sana hilo, muda waliotumia hawa waliomaliza shule ni mrefu zaidi kuliko darasa lolote katika historia ya nchi hii katika elimu ya form six, walikuwa na miezi mingine kama mitatu ya ziada. kuna mambo mengi sana yamechangia and you have to be very reasonable, unataka kutuambia hili darasa la mwaka huu ndio lenye akili kupita madara yote yaliyopita? na mengne yaliyopita ni vilaza?A ilikua 75 - 100 tofauti hapakua na b+ na kwa 2013 ukipata 55 flat ni one ya 9 kwa sasa ni b plain flat ambayo ni div 2 ya mwisho!
Mimi kama mwalimu wa sekondari na niliyefundisha wanafunzi wa acsee 2014 nimefarijika sana na matokeo haya.imeonesha ni jinsi gani walimu tumejituma mpaka uwezo wetu wa mwisho kuhakikisha elimu ya Tanzania inakuwa bora.na kwa niaba ya walimu wenzangu nataka niwahakikishie watanzania yafuatayo
ACSEE 2015 ufaulu utakuwa 100%(kumbuka 2015 ni mwaka wa uchaguzi)
dont be brain washed, a big maneuver is played here, kuanzia utungaji wa mitihani mpaka usahishaji, mimi nimesoma elimu bora katika shule bora, lakini pia nimesoma elimu mbovu katika shule mbovu, na hawa wanafunzi waliomaliza wamefaulu kwa kiasi hiki kwa sababu ya aina ya mitihani, aina ya usahishaji na alama zenyewe. kuna muda tulikuwa in best schools but when it comes to exams, sometimes mnakutana na maswali out of topic, tumelalamikia sana hilo, muda waliotumia hawa waliomaliza shule ni mrefu zaidi kuliko darasa lolote katika historia ya nchi hii katika elimu ya form six, walikuwa na miezi mingine kama mitatu ya ziada. kuna mambo mengi sana yamechangia and you have to be very reasonable, unataka kutuambia hili darasa la mwaka huu ndio lenye akili kupita madara yote yaliyopita? na mengne yaliyopita ni vilaza?