kwa matokeo haya form 6 walimu tunahitaji pongezi

mtvbase

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2014
Posts
1,243
Reaction score
561
Mimi kama mwalimu wa sekondari na niliyefundisha wanafunzi wa acsee 2014 nimefarijika sana na matokeo haya.imeonesha ni jinsi gani walimu tumejituma mpaka uwezo wetu wa mwisho kuhakikisha elimu ya Tanzania inakuwa bora.na kwa niaba ya walimu wenzangu nataka niwahakikishie watanzania yafuatayo
ACSEE 2015 ufaulu utakuwa 100%(kumbuka 2015 ni mwaka wa uchaguzi)
 
MWAKA 2013: A = 80 – 100; B = 75 - 79;
C = 65 – 74; D = 55 – 64; E= 45 – 54; S =
40 – 44 na F =0 – 39.
Hivyo vilikuwa viwango vya ufaulu 2013 linganisha na vya sasa.
 
Mawazo ya kijinga, wakifeli mnadai hamlipwi vizuri mmegoma kufundisha,

wakifaulu mnasema mmefundisha kwa nguvu zote.

Elimu ya tanzania ilishakufa toka ilipoanzishwa.

Haya tunaangalia ngonjera na maigizo sawa na FUTUHI
 
waba tabu sana walimu yaki toka ya form four utawasikia wanalaumu tena serikali
 
MWAKA 2013: A = 80 – 100; B = 75 - 79;
C = 65 – 74; D = 55 – 64; E= 45 – 54; S =
40 – 44 na F =0 – 39.
Hivyo vilikuwa viwango vya ufaulu 2013 linganisha na vya sasa.

A ilikua 75 - 100 tofauti hapakua na b+ na kwa 2013 ukipata 55 flat ni one ya 9 kwa sasa ni b plain flat ambayo ni div 2 ya mwisho!
 
dont be brain washed, a big maneuver is played here, kuanzia utungaji wa mitihani mpaka usahishaji, mimi nimesoma elimu bora katika shule bora, lakini pia nimesoma elimu mbovu katika shule mbovu, na hawa wanafunzi waliomaliza wamefaulu kwa kiasi hiki kwa sababu ya aina ya mitihani, aina ya usahishaji na alama zenyewe. kuna muda tulikuwa in best schools but when it comes to exams, sometimes mnakutana na maswali out of topic, tumelalamikia sana hilo, muda waliotumia hawa waliomaliza shule ni mrefu zaidi kuliko darasa lolote katika historia ya nchi hii katika elimu ya form six, walikuwa na miezi mingine kama mitatu ya ziada. kuna mambo mengi sana yamechangia and you have to be very reasonable, unataka kutuambia hili darasa la mwaka huu ndio lenye akili kupita madara yote yaliyopita? na mengne yaliyopita ni vilaza?
 
Mimi kama mwalimu wa sekondari na niliyefundisha wanafunzi wa acsee 2014 nimefarijika sana na matokeo haya.imeonesha ni jinsi gani walimu tumejituma mpaka uwezo wetu wa mwisho kuhakikisha elimu ya Tanzania inakuwa bora.na kwa niaba ya walimu wenzangu nataka niwahakikishie watanzania yafuatayo
ACSEE 2015 ufaulu utakuwa 100%(kumbuka 2015 ni mwaka wa uchaguzi)

hongeraa na mshahara umeongezeka?
 
dont be brain washed, a big maneuver is played here, kuanzia utungaji wa mitihani mpaka usahishaji, mimi nimesoma elimu bora katika shule bora, lakini pia nimesoma elimu mbovu katika shule mbovu, na hawa wanafunzi waliomaliza wamefaulu kwa kiasi hiki kwa sababu ya aina ya mitihani, aina ya usahishaji na alama zenyewe. kuna muda tulikuwa in best schools but when it comes to exams, sometimes mnakutana na maswali out of topic, tumelalamikia sana hilo, muda waliotumia hawa waliomaliza shule ni mrefu zaidi kuliko darasa lolote katika historia ya nchi hii katika elimu ya form six, walikuwa na miezi mingine kama mitatu ya ziada. kuna mambo mengi sana yamechangia and you have to be very reasonable, unataka kutuambia hili darasa la mwaka huu ndio lenye akili kupita madara yote yaliyopita? na mengne yaliyopita ni vilaza?

binadamu tujifunze kupongeza inapobidi. Wanafaunzi wakifeli tunalalamika wamefaulu tunaanza kuweka sababu hazina miguu wala vichwa. Waalimu mnayohaki ya kujipongeza kwa kazi nzuri mliofanya kwa wanafunzi wa kidato cha Sita 2014 nawashauri muendelee hivyo hata kwa wakati ujao. Kazi nzuri
 
Unajua maana ya BIG RESULTS NOW?? Fuatilia matokeo haya ya kidato cha sita.

Division zero mwaka jana 2604, mwaka huu 612. Tofauti watu 1992, sawa na asilimia 325%.

Division one, mwaka jana 325, mwaka huu 4,365. Tofauti 4040, sawa na asilimia 1243%. Haya ni maajabu ya karne.

Walitanua ukubwa wa goli ili iwe rahisi kufunga... Kutoka zero zaidi ya 2000 mwaka jana hadi zero 600 tu mwaka huu. Kutoka div.one 300 tu mwaka jana hadi one zaidi ya 4,000 mwaka huu.

Hivi waalimu walewale wa shule zilezile zilizotoa one 300 mwaka jana ndo wametoa one 4,000 mwaka huu??

Changamoto zao zimetatuliwa? Maabara zimejengwa? Vitabu vimeongezwa? Madai ya walimu yamelipwa? Waalimu wa Kiswahili wameacha kufundisha Hesabu kutokana na ukosefu wa waalimu wa hesabu?

Kama changamoto hizo zote hazijatatuliwa mabadiliko haya ya ghafla kutoka div.one 300 hadi div.one zaidi ya 4,000 yametoka wapi? Kweli tumeamua kutanua goli tufunge kirahisi. Karibu Tanzania, hii ndiyo BRN bhana.!

Wanasema BRN means Big Results Now, mimi namwambia Waziri Kawambwa BRN, yani he should "Better Resign Now" maana watoto wetu wanapata BRN = Brain Receive Nothin

me ka ningekuwa mwalimu siweziiii simama mbele za wasomi kujisifia
 
Back
Top Bottom