choza choza
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 2,081
- 3,831
HakikaNgoja waje kumpa muongozo...
Alikua vizuri sana physcs, ila sijui imekuaje kapata CHapana,
Siku hizi special schools (Mzumbe, Ilboru, Tabora Boys na Kibaha) wanachukua AAA pekee kwenye combination husika.
Anaweza kupata kwenye shule nyingine kongwe na maarufu kama Pugu, Shule za Tech, Minaki, n.k.
Sema kama watachagua wengi kutoka shule za kata wenye A mbili dogo anaweza kupata maana amesoma shule ya kata tuu vijijini.At least angekuwa na AAB huyo haendi special nisamehe kwa ukweli
Kuna division one za saba nyingi sana mwaka huu hawezi kwenda special schoolNi dogo ambaye ndoto zake ni kusoma special school kati ya ilboru, Mzumbe, Tabora boys kwa mchepuo wa PCB, alikua vizuri sana Physics ila imemuangusha maana mitihani ya shule alikua anapiga A ila Necta matokeo yake ni
Physics C
Chemistry A
Biology A
ana div 1.11
Je anaweza kuchaguliwa hizo shule tajwa hapo juu au tusubiri za kawaida tuu
Shule za kata ndio shule gani...haendi ndio jibu...pugu...minak..same..mosh tec..tosa maganga...ifunda...old mosh..tanga...nk ndio zitamuhusu...Sema kama watachagua wengi kutoka shule za kata wenye A mbili dogo anaweza kupata maana amesoma shule ya kata tuu vijijini.
Physics ya mwaka huu inaonekana ilikuwa noma,,,maana hadi shule ya st.fransis girls wamepata wastani wa B wakati sio kawaidaNi dogo ambaye ndoto zake ni kusoma special school kati ya ilboru, Mzumbe, Tabora boys kwa mchepuo wa PCB, alikua vizuri sana Physics ila imemuangusha maana mitihani ya shule alikua anapiga A ila Necta matokeo yake ni
Physics C
Chemistry A
Biology A
ana div 1.11
Je anaweza kuchaguliwa hizo shule tajwa hapo juu au tusubiri za kawaida tuu
Abadili selform chap mpelekeni chuo akasome engineering Pale ATC! SPEcial kwa PCB ni BAA Au AAA yeye na CAA Tena PCB Bora ingekea PCM! mpelekeni chuo asije haribu ndoto yake, ada Ni kidogo tu tena affordable.Ni dogo ambaye ndoto zake ni kusoma special school kati ya ilboru, Mzumbe, Tabora boys kwa mchepuo wa PCB, alikua vizuri sana Physics ila imemuangusha maana mitihani ya shule alikua anapiga A ila Necta matokeo yake ni
Physics C
Chemistry A
Biology A
ana div 1.11
Je anaweza kuchaguliwa hizo shule tajwa hapo juu au tusubiri za kawaida tuu