Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaenda bila shida ila ningeshauri mpeleke Private shule nzuri ya PCMHuyu Naye Kwa Haya Matokeo Yake Anaweza Kupata Kuchaguliwa Kuendelea Na Kidato Cha Tano
Civics ~ C
History ~ B
Geography ~ C
B/Knowl~ B
Kiswahili ~ C
English ~ C
Chemistry ~ B
Phy~ C
Biology ~ C
B/Mathematics~ B
Sawa SawaAnaenda bila shida ila ningeshauri mpeleke Private shule nzuri ya PCM
Yuko vizuri eneo hilo
Weka hapa huo mwaka ambao walikuwa na average ya A.Kama mathematics ambao ndo ugonjwa wa taifa wanapata A inawezekana vipi physics wasipate
Amejitahidi kidogo.Huyu Naye Kwa Haya Matokeo Yake Anaweza Kupata Kuchaguliwa Kuendelea Na Kidato Cha Tano
Civics ~ C
History ~ B
Geography ~ C
B/Knowl~ B
Kiswahili ~ C
English ~ C
Chemistry ~ B
Phy~ C
Biology ~ C
B/Mathematics~ B
Hivi wewe unafshamu maana ya angalau? AAA inakuwaje angalau?Hapana hachaguliwi angalau angepata AAA
1 ya 7 kiujumla, sio grade points ktk comb.That was ages ago, siyo dunia ya leo ya mamia ya one za saba.
Huu muongozo uko toka mda, labda itokee mwaka husika kuna somo wame fail sana, ndo huwa wanaangilia wenye C.Kuna muongozo niliuona Kwa combination zote Kwa special school na shule za kawaida , special school ni either AAA or BAA
Mbona comb zote zimebalance sio kwa arts wala science,Huyu Naye Kwa Haya Matokeo Yake Anaweza Kupata Kuchaguliwa Kuendelea Na Kidato Cha Tano
Civics ~ C
History ~ B
Geography ~ C
B/Knowl~ B
Kiswahili ~ C
English ~ C
Chemistry ~ B
Phy~ C
Biology ~ C
B/Mathematics~ B
Tena CO unapiga vizuri kabisa, andaa hela ya malipo chuoni toka mapema hii.Jaman nisaidieni nimemaliza form 4 mwaka2O16 nilixhindwa kuendelea na masomo kwa sababu za kiafya je kwa matokeo hata ntachaguliwa vyuo vya afya vya serikali
Chem C
Bio C
Math C
physics D
Eng C
Hist C
Kisw C
Civic C
Geo C
Hawawezi kuacha AAA wachukue AAB.1 ya 7 kiujumla, sio grade points ktk comb.
Kuna mtu ana 1 ya 8, chem ana B, wakat phys, math na bio ana A, je hawezi kwenda special?