Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni dogo ambaye ndoto zake ni kusoma special school kati ya ilboru, Mzumbe, Tabora boys kwa mchepuo wa PCB, alikua vizuri sana Physics ila imemuangusha maana mitihani ya shule alikua anapiga A ila Necta matokeo yake ni
Physics C
Chemistry A
Biology A
ana div 1.11
Je anaweza kuchaguliwa hizo shule tajwa hapo juu au tusubiri za kawaida tuu
Kwa miaka ya nyuma alikuwa anachaguliwa bila wasi ,ila siku hizi wengi wanapiga single digit na kwenye combination husika wanafumua flat A's .Ni dogo ambaye ndoto zake ni kusoma special school kati ya ilboru, Mzumbe, Tabora boys kwa mchepuo wa PCB, alikua vizuri sana Physics ila imemuangusha maana mitihani ya shule alikua anapiga A ila Necta matokeo yake ni
Physics C
Chemistry A
Biology A
ana div 1.11
Je anaweza kuchaguliwa hizo shule tajwa hapo juu au tusubiri za kawaida tuu
Huo ndio ukweli mchungu .Asishangae kuchaguliwa shule za kata mana serikali nayo haielewek
Afate ushauri huu.Labda baada term 1 aombe kuhamia huwa inawezekana......
Mwaka gani waliwahi kupata wastani wa A kwenye Phys?Physics ya mwaka huu inaonekana ilikuwa noma,,,maana hadi shule ya st.fransis girls wamepata wastani wa B wakati sio kawaida
Sent using Jamii Forums mobile app
Asipochaguliwa kihalali kuna ile kula kwa urefu wa kamba yako, anza mikakati sasa hivi check na mahedmaster wa hizo watakupiga sound na kitu kidogo then anachichanganya, ila kubali hasara kidogo ya kulipa ada mara mbili kwa maana shule aliyochaguliwa na shule unayotaka aende.Ni dogo ambaye ndoto zake ni kusoma special school kati ya ilboru, Mzumbe, Tabora boys kwa mchepuo wa PCB, alikua vizuri sana Physics ila imemuangusha maana mitihani ya shule alikua anapiga A ila Necta matokeo yake ni
Physics C
Chemistry A
Biology A
ana div 1.11
Je anaweza kuchaguliwa hizo shule tajwa hapo juu au tusubiri za kawaida tuu
Advance ni elimu bure saivi, ngoja tusubiri selectionAsipochaguliwa kihalali kuna ile kula kwa urefu wa kamba yako, anza mikakati sasa hivi check na mahedmaster wa hizo watakupiga sound na kitu kidogo then anachichanganya, ila kubali hasara kidogo ya kulipa ada mara mbili kwa maana shule aliyochaguliwa na shule unayotaka aende.
kama unafahamiana na afisa elimu yeyote ni chapu sana.
Kuna marks kwa ajili ya kwenda shule kongwe?Hapana,
Siku hizi special schools (Mzumbe, Ilboru, Tabora Boys na Kibaha) wanachukua AAA pekee kwenye combination husika.
Anaweza kupata kwenye shule nyingine kongwe na maarufu kama Pugu, Shule za Tech, Minaki, n.k.
hapana, Grade points ktk comb, huwa ni 4 kwa science, na 6 kwa arts.Hapana,
Siku hizi special schools (Mzumbe, Ilboru, Tabora Boys na Kibaha) wanachukua AAA pekee kwenye combination husika.
Anaweza kupata kwenye shule nyingine kongwe na maarufu kama Pugu, Shule za Tech, Minaki, n.k.
That was ages ago, siyo dunia ya leo ya mamia ya one za saba.hapana, Grade points ktk comb, huwa ni 4 kwa science, na 6 kwa arts.
Science AAB
Arts BBB.
Hawezi kuchaguliwa special school kwakuwa kigezo cha kwanza awe na division I. Pia pamoja na div.I, kwa mvulana PCB alitakiwa kupata angalau BAA ndipo wangemchagua special school.Ni dogo ambaye ndoto zake ni kusoma special school kati ya ilboru, Mzumbe, Tabora boys kwa mchepuo wa PCB, alikua vizuri sana Physics ila imemuangusha maana mitihani ya shule alikua anapiga A ila Necta matokeo yake ni
Physics C
Chemistry A
Biology A
ana div 1.11
Je anaweza kuchaguliwa hizo shule tajwa hapo juu au tusubiri za kawaida tuu
Ilimtokea na mdogo wangu Mwaka Jana, alipiga div I ya 8 PCM CAA akachaguliwa shule mpya ipo wilaya ya kibaha nimeisahau jina coz hata kuripoti hakuripoti hiyo shuleUyo kwenda shule maalum hawez nakum uka mwaka juz Kuna dogo alipiga one ya nane alikuwa na CAA ya PCB akachagukiwa shule ya kata Tena mpya
It seems chemistry mwaka wao ilikuwa simple sana hata dogo wangu anaeshika nafasi ya mwisho kemia kapata ASema kama watachagua wengi kutoka shule za kata wenye A mbili dogo anaweza kupata maana amesoma shule ya kata tuu vijijini.
Kama mathematics ambao ndo ugonjwa wa taifa wanapata A inawezekana vipi physics wasipateMwaka gani waliwahi kupata wastani wa A kwenye Phys?
Kabisa sio utaniAsishangae kuchaguliwa shule za kata mana serikali nayo haielewek