Kwa matokeo haya huyu dogo atachaguliwa special school

Hapana hachaguliwi angalau angepata AAA
 

Hakuna special school inayochukua “C” ya physics jombi.
 
Kwa miaka ya nyuma alikuwa anachaguliwa bila wasi ,ila siku hizi wengi wanapiga single digit na kwenye combination husika wanafumua flat A's .

Ajiandae kwenda shule ya kata
 
Kama katoka shule za Kata anaweza kubahatika. Special school huwa wanawa-favour shule za kata. ILA hiyo C sidhani hata kama hiyo favour atapata. NAUNGANA NA WADAU WENGINE WALIOSEMA HAWEZI KWENDA SPECIAL SCHOOL
 
Asipochaguliwa kihalali kuna ile kula kwa urefu wa kamba yako, anza mikakati sasa hivi check na mahedmaster wa hizo watakupiga sound na kitu kidogo then anachichanganya, ila kubali hasara kidogo ya kulipa ada mara mbili kwa maana shule aliyochaguliwa na shule unayotaka aende.
kama unafahamiana na afisa elimu yeyote ni chapu sana.
 
Advance ni elimu bure saivi, ngoja tusubiri selection
 
Hapana,

Siku hizi special schools (Mzumbe, Ilboru, Tabora Boys na Kibaha) wanachukua AAA pekee kwenye combination husika.

Anaweza kupata kwenye shule nyingine kongwe na maarufu kama Pugu, Shule za Tech, Minaki, n.k.
Kuna marks kwa ajili ya kwenda shule kongwe?
 
Hapana,

Siku hizi special schools (Mzumbe, Ilboru, Tabora Boys na Kibaha) wanachukua AAA pekee kwenye combination husika.

Anaweza kupata kwenye shule nyingine kongwe na maarufu kama Pugu, Shule za Tech, Minaki, n.k.
hapana, Grade points ktk comb, huwa ni 4 kwa science, na 6 kwa arts.
Science AAB
Arts BBB.
 
Hawezi kuchaguliwa special school kwakuwa kigezo cha kwanza awe na division I. Pia pamoja na div.I, kwa mvulana PCB alitakiwa kupata angalau BAA ndipo wangemchagua special school.
 
Kuna muongozo niliuona Kwa combination zote Kwa special school na shule za kawaida , special school ni either AAA or BAA
 
Uyo kwenda shule maalum hawez nakum uka mwaka juz Kuna dogo alipiga one ya nane alikuwa na CAA ya PCB akachagukiwa shule ya kata Tena mpya
Ilimtokea na mdogo wangu Mwaka Jana, alipiga div I ya 8 PCM CAA akachaguliwa shule mpya ipo wilaya ya kibaha nimeisahau jina coz hata kuripoti hakuripoti hiyo shule
 
Sema kama watachagua wengi kutoka shule za kata wenye A mbili dogo anaweza kupata maana amesoma shule ya kata tuu vijijini.
It seems chemistry mwaka wao ilikuwa simple sana hata dogo wangu anaeshika nafasi ya mwisho kemia kapata A
 
Asishangae kuchaguliwa shule za kata mana serikali nayo haielewek
Kabisa sio utani
Ampeleke special school za Private Zinazofaulisha sana

Uzuri Kwa Sasa hata Private zikpo special school zinazochukua watoto wenye ajili na ufaulu mkubwa tu ampeleke huko ili asije haribu CV ya ufaulu wake akaja ishia na DDD huko advanced level akienda za kata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…