Kwa matokeo haya labda Yanga tukagombee namba za NIDA

Kwa matokeo haya labda Yanga tukagombee namba za NIDA

BASIASI

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2010
Posts
9,732
Reaction score
5,006
Najuaaa tunapopitia sihaba kuamini akuna kipya mbeleni.

Kwa matokeo haya tukapange tu foleni pale Kawe tugombanie namba za NIDA.

Sioni tunachoshindania mpaka sasa ajabuu unakaa bar kula unaonaa kundi la watu linaingia kuangalia Yanga as if wanagombani kakombe fulani.
 
Back
Top Bottom