Habari zenu wapendwa mimi nimemaliza form four mwaka wa jana matokeo yametoka mwaka huu sasa nilikuwa na omba kuuliza kwa matokeo haya naweza kuchaguliwa kidato cha tano katika shule za serikali na kama ndio kwa combination gani ? matokeo yenyewe ni MATHEMATICS (C) , CHEMISTRY (C) , BIOLOGY (C), PHYSICS (D) , KISWAHILI (C), GEOGRAPHY (D) HISTORY (D) , ENGLISH (D), CIVIC (🫣) . naombeni msaada wenu jamani