UNAWEZA KWENDA KUFUATANA UFAULU WA MWAKA HUSIKA. KAMA WAMEFAULU SANA KAMA MWAKA HUU,INAWEZA KUWA SHIDA.Habari zenu wapendwa mimi nimemaliza form four mwaka wa jana matokeo yametoka mwaka huu sasa nilikuwa na omba kuuliza kwa matokeo haya naweza kuchaguliwa kidato cha tano katika shule za serikali na kama ndio kwa combination gani ? matokeo yenyewe ni MATHEMATICS (C) , CHEMISTRY (C) , BIOLOGY (C), PHYSICS (D) , KISWAHILI (C), GEOGRAPHY (D) HISTORY (D) , ENGLISH (D), CIVIC (🫣) . naombeni msaada wenu jamani
Mwambie mbowe arudishe maliUNAWEZA KWENDA KUFUATANA UFAULU WA MWAKA HUSIKA. KAMA WAMEFAULU SANA KAMA MWAKA HUU,INAWEZA KUWA SHIDA.
Pili, wewe mwenyewe unataka kuwa nani( future anticipated expertise)...from there utapata ushauri
nitakujibu vibaya ukimbiliwe kwa mods...nakujaMwambie mbowe arudishe mali
Yaani hadi sasa hujui unataka kusomea nini? Hii ni ajabu kweli! Nakumbuka zamani kuna zile selection forms tulikuwa tunajaza combinations ( tahasusi) za masomo mwanafunzi anapenda kusoma À Level kabisa kabla au baada ya kufanya mitihani. Je, siku hizi hamzaji?Habari zenu wapendwa mimi nimemaliza form four mwaka wa jana matokeo yametoka mwaka huu sasa nilikuwa na omba kuuliza kwa matokeo haya naweza kuchaguliwa kidato cha tano katika shule za serikali na kama ndio kwa combination gani ? matokeo yenyewe ni MATHEMATICS (C) , CHEMISTRY (C) , BIOLOGY (C), PHYSICS (D) , KISWAHILI (C), GEOGRAPHY (D) HISTORY (D) , ENGLISH (D), CIVIC (🫣) . naombeni msaada wenu jamani