Kwa Matokeo Haya Nitachaguliwa Shule Ya Serikali?

JOMAKIBU

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2015
Posts
538
Reaction score
70
Habari Zenu Wana JF
Nimehitm Kidato Cha 4 Mwaka Jana Na Matokeo Yangu Ni;
BIOS:C
GEOG:B
ENGL:B
HIST:B
KISW:C
CHEMπŸ˜€
B/MATHπŸ˜€
CIVCπŸ˜€
Nina credt ya 2.1 je nitapata nafasi shule ya selikali? Na naweza chaguliwa comb gan?

Naombeni ushaur wenu
 
Anza kupanga nguo tu kijana maana umefaulu ki BRN na utachaguliwa ki BRN.
 
Hii sasa dharau kwa JF.......

Hivi BRN ndo imepelekea vijana msijiamini kiasi hiki ??

Yani unaona wazi kabisa BBB za History, Geography na English halafu una wasi wasi wa kutochaguliwa?

Furaha ikichanganyikana na wasiwasi bhana....
 
VP pre-form five hausomi kijana
 
Hii sasa dharau kwa JF.......

Hivi BRN ndo imepelekea vijana msijiamini kiasi hiki ??

Yani unaona wazi kabisa BBB za History, Geography na English halafu una wasi wasi wa kutochaguliwa?

Furaha ikichanganyikana na wasiwasi bhana....

Tatizo Nikwamba
Nilisikia Tetec Kuwa Wenye Credt Wote Hawatapata Nafasi Katika Shule Za Serikali! Ndio Maana Nakuwa Na Wacwac! But Nashukuru Kwa Ushauli Wako Ndugu!
 
Mathematics una mswaki.. yaani wewe ni art pure pure. Hat ukienda private.. stil kuingia chuo ni shida maana course nyingi za science wanataka at least olevel upate credit ya hisabati... ninavyoona mimi
 
Mathematics una ngapi, maana hapo naona πŸ˜€ sijui una maanisha nini???
 
Mathematics una mswaki.. yaani wewe ni art pure pure. Hat ukienda private.. stil kuingia chuo ni shida maana course nyingi za science wanataka at least olevel upate credit ya hisabati... ninavyoona mimi

Mathematcs Nina D
Siyo Mswaki Kama Unavyosema Wewe! But Nashukuru Kwa Maoni Yako
 
Mathematcs Nina D
Siyo Mswaki Kama Unavyosema Wewe! But Nashukuru Kwa Maoni Yako

Mathematcs Nimeandika D Kwa Maana Kwamba Kulingana Na Mwongozo Wa BRN Ukipata Alama Kati Ya 30-40 Hiyo Inasomeka Kama Daraja D
 
Umeshafanya, mwache Mungu na yeye afanye kazi yake.
MuombeMungu atakusaidia kukidhi haja ya moyo wako
Good luck
 
Umeshafanya, mwache Mungu na yeye afanye kazi yake.
MuombeMungu atakusaidia kukidhi haja ya moyo wako
Good luck

Ahsante Sana Ndugu Kwa Ushauli Wako! Mwenyezi Mungu Akutangulie!
 
Hii sasa dharau kwa JF.......

Hivi BRN ndo imepelekea vijana msijiamini kiasi hiki ??

Yani unaona wazi kabisa BBB za History, Geography na English halafu una wasi wasi wa kutochaguliwa?

Furaha ikichanganyikana na wasiwasi bhana....

furaha hiyo ilopitiliza wewee hani ile dizain huamini kilichotokwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…