Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari Zenu Wana JF
Nimehitm Kidato Cha 4 Mwaka Jana Na Matokeo Yangu Ni;
BIOS:C
GEOG:B
ENGL:B
HIST:B
KISW:C
CHEM😀
B/MATH😀
CIVC😀
Nina credt ya 2.1 je nitapata nafasi shule ya selikali? Na naweza chaguliwa comb gan?
Naombeni ushaur wenu
Hii sasa dharau kwa JF.......
Hivi BRN ndo imepelekea vijana msijiamini kiasi hiki ??
Yani unaona wazi kabisa BBB za History, Geography na English halafu una wasi wasi wa kutochaguliwa?
Furaha ikichanganyikana na wasiwasi bhana....
Mathematics una mswaki.. yaani wewe ni art pure pure. Hat ukienda private.. stil kuingia chuo ni shida maana course nyingi za science wanataka at least olevel upate credit ya hisabati... ninavyoona mimi