Kwa matokeo haya, Yanga Ubingwa basi

Kwa matokeo haya, Yanga Ubingwa basi

101 East

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2015
Posts
1,057
Reaction score
2,221
Game imeisha Kwa mkapa Yanga kafungwa bao 2 Kwa 1.

Je Kwa matokeo tuseme yanga Hana chake kule Algeria maana hawa USM Algeirs wanaenda kukamilisha ratiba tu

20230521_074307.jpg
20230528_182510.jpg
 
Yanga hana uwezo wa kushinda zaidi ya goli 2 ugenini. Spirit hiyo yanga hawana.

Zaidi zaidi wajitahidi washinde 2-0, kitu ambacho pia hawezi.

Akishinda sana yanga ni 2-1 aende matuta.

Ila sioni yanga akibeba hilo kombe.
 
Ramli yako inahusisha vifaa Gani umeweka na ubani halmudu?
 
Makolo hitataji lao ni Yanga kutokubeba kombe, kwa hiyo hata leo tungeshinda bado mngempa nafasi mwarab ya kubeba kombe mechi ya maruadiano
 
Yanga hana uwezo wa kushinda zaidi ya goli 2 ugenini. Spirit hiyo yanga hawana.

Zaidi zaidi wajitahidi washinde 2-0, kitu ambacho pia hawezi.

Akishinda sana yanga ni 2-1 aende matuta.

Ila sioni yanga akibeba hilo kombe.
Kwani uliiona Yanga ikiingia fainali ??
 
Back
Top Bottom