Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani kwao hawafungikiGame imeisha Kwa mkapa Yanga kafungwa bao 2 Kwa 1
Je Kwa matokeo tuseme yanga Hana chake kule Algeria maana hawa USM Algeirs wanaenda kukamilisha ratiba tuView attachment 2638357View attachment 2638363
Ramli yako inahusisha vifaa Gani umeweka na ubani halmudu?Yanga hana uwezo wa kushinda zaidi ya goli 2 ugenini. Spirit hiyo yanga hawana.
Zaidi zaidi wajitahidi washinde 2-0, kitu ambacho pia hawezi.
Akishinda sana yanga ni 2-1 aende matuta.
Ila sioni yanga akibeba hilo kombe.
Makolokolo muwe na akiba, mpira huwa unadunda Bandugu shauri zenu, msije kusema sikuwaambia lolote litalotokea ugenini 03/06/2023.Game imeisha Kwa mkapa Yanga kafungwa bao 2 Kwa 1
Je Kwa matokeo tuseme yanga Hana chake kule Algeria maana hawa USM Algeirs wanaenda kukamilisha ratiba tuView attachment 2638357View attachment 2638363
Ni sayansi ya mpira tu.Ramli yako inahusisha vifaa Gani umeweka na ubani halmudu?
Yap!! All the best USM ALGIERSMakolo hitataji lao ni Yanga kutokubeba kombe, kwa hiyo hata leo tungeshinda bado mngempa nafasi mwarab ya kubeba kombe mechi ya maruadiano
Fainali ishakwisha hapa, Yanga kule Algeria anakwenda kula 5 au 7 bila. Yes, ni haibu kwa taifa ila ilibidi iwe hivyo tu.Game imeisha Kwa mkapa Yanga kafungwa bao 2 Kwa 1
Je Kwa matokeo tuseme yanga Hana chake kule Algeria maana hawa USM Algeirs wanaenda kukamilisha ratiba tuView attachment 2638357View attachment 2638363
Kwani uliiona Yanga ikiingia fainali ??Yanga hana uwezo wa kushinda zaidi ya goli 2 ugenini. Spirit hiyo yanga hawana.
Zaidi zaidi wajitahidi washinde 2-0, kitu ambacho pia hawezi.
Akishinda sana yanga ni 2-1 aende matuta.
Ila sioni yanga akibeba hilo kombe.
Ndio mbona hilo lilikua wazi.Kwani uliiona Yanga ikiingia fainali ??
Haya ngoja tuone ila ugumu kweli upo.Ndio mbona hilo lilikua wazi.